BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Niko kwenye honey money usiniharibie raha.Nashauli twendeni BUTIAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko kwenye honey money usiniharibie raha.Nashauli twendeni BUTIAMA
Nafikiri haujaelewa, cashless inaweza kuwa unaenda kununua bidhaa una scan kufanya malipo kutoka katika account yako instead of paying cash.Cashless is vietual money has no value in production...
Utajiri wa kina Elon Musk.
Huoni wamezalisha nini kwenye dunia hadi wawe matajiri.
Nilikutana na noti ya elfu 2, 5 na 1 nyepesi kuliko kawaida, hadi mtu unashangaa na kuikagua mara mbili mbili na ni kwa nyakati tofautiTafadhali ndugu zangu angalizo wiki hii kuna pesa nyingi za Bandia nimekutana nazo nahisi kama kuna watu wameanza kuingiza pesa Bandia ktk mzunguko.
Sisi si ipo hiyo lipa kwa Mpesa lakini sasa serikali bado inakukata hata ukilipa hivyo...Mi mwenyewe nilishangaa mwaka 2020 matatu number iko ndani pale mbele unalipa kwa M-pesa kama huna cash.
Kenya wapo mbali sana.
Yes. Hata huyo muuzaji ndani ya Mpesa application yake ya simu anaweza kuwa na bar code...mteja anascan tu na kufanya malipo. Message inakuja tu ya kupokea malipo bila makato.Nafikiri haujaelewa, cashless inaweza kuwa unaenda kununua bidhaa una scan kufanya malipo kutoka katika account yako instead of paying cash.
Tukubali kuna hizi movies zinazungumzia uhalisia wa maisha,Hakuna pesa bandia.
Mimi kila siku napata pesa ila pesa bandia sizioni
Unazitambuaje?Tukubali kuna hizi movies zinazungumzia uhalisia wa maisha,
sasa series moja ya kihindi inaitwa Farzi.. main actor ni Shahid Kapoor, kwenye hii series jamaa ni artist wa uchoraji, anatengeneza noti bandia hadi mashine inashindwa kutambua kama ni noti bandia...
Point kuu ni kwamba huenda umekutana nazo nyingi tu ila umeshindwa kuzitambua kutokana na uhodari wa mtengenezaji
Mimi siuzi kitu cha 12k ndugu, umelipa kiasi cha chini sana ni 500k 😀, na sijitaji ya kutoleaNa mimi sinunui kwako ujinga mtupu
Kitu cha elfu kumi cash nikulipe elfu 10 na ya kukutumia elfu 2 makato jumla elfu 12 sifanyi kazi hiyo nitaenda kwingine wanakopokea cash
Waziri wetu yeye yupo bize kubuni kodi mpya kila siku, anahakikisha kila muhamala unaofanyika uwe na makato, tuna safari ndefu sanaSisi si ipo hiyo lipa kwa Mpesa lakini sasa serikali bado inakukata hata ukilipa hivyo...
Hii inaendana na cheap internet. Watu wakiwa na internet wana download app ya Mpesa, tigopesa etc inakuwa na option za malipo kila sehemu hadi malipo ya serikali, kuingia kwenye SGR, BRT nk.
Sisi huku tu kulipia 5000 tu kwa mpesa wanakata 1000 nzima sasa si bora ulipe cash..
Yaan Tanzania we need a serious Minister of finance na governor mzr wa BOT. Tuajili hata wakenya basi kama watz hatuwezi...wao hata dollar kwa kenyan shillings haiporomoki...ilikuwa imepanda kufika 160ksh sasa wameishusha to 128ksh within 5 months
Na sababu ni cashless economy...kwamba hata exchange rates zinafanyika huko huko mpesa...
Sisi sasa...
Tungeanza hata kwa baadhi ya maeneo kulipa kwa mpesa bila makato...mfano Daladala zote, bodaboda, bajaji kila mtu afungue pochi la biashara ndani ya Mpesa...mtu sio lazima alipe cash...waelimishwe faida yake kama kutoa usumbufu wa kutafuta change na kuondoa upotevu hela...
Mwezi mmoja unatosha hii kusambaa nchi nzima....
Kenya hadi matatu wanawifi kuwezesha abiria alipe kwa Application ya Mpesa. Hizo router za Voda, Airtel zingekuwa zinafungwa kwenye Daladala, brt nk au vituo vya mwendokasi vyote vingekuwa na WiFi....sijui kwa nini makampuni ya simu hayachangamki yapo yapo tu.
Yaan Tanzania...cheiii..
Vp ulishindwa hata kumpa vibao ?...Kuna boya mmoja Mbezi Temboni wa Bajaj kanipa hiyo 5000 fake majuzi tu. Nikamwambia hii siyo pesa, umenionaje bwashee?
Sasa si useme hayo unayoyajua kuhusu hio elimu, fac uBOT wanatoa hii elimu.
Nilishawahi pata fursa ya kutoa hii elimu na BOT..!!
Nilijifunza mengi..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Jamaa 'bonge nzito' full minyama. Walikuwa wawili.Vp ulishindwa hata kumpa vibao ?...
kwa hiyo ulimgwaya?😂🤣🤣🤣Jamaa 'bonge nzito' full minyama. Walikuwa wawili.
Alinibadilishia nzuri nikasepa zangu.kwa hiyo ulimgwaya?😂🤣🤣🤣
Sio mbaya mkuu, siku akijichanganya mnyonge wako ni vibao viwili (usije ukaua) na kumrusha kichura chura hadi kituo cha polisi,....Alinibadilishia nzuri nikasepa zangu.