Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

Labda "dili " katika mtiani hakuna! Ujue walioenda shule za serikali ni wale waliofaulu darasa la saba na private ni waliofeli. Kufaulu sioni ajabu! Awamu hii waalimu wapo serious kuogopa kutumbuliwa
 
Kisomi ulitakiwa kuja na records za miaka mitano nyuma kwa matokeo husika ili uweze kujenga hoja.

Tuwe na tabia ya kufanya utafiti wakati wa kujenga hoja

Mungu Ibariki Tz - MITz
 
Kama ulilipa mamilioni na mwanao hajaeleweka lazima ukune kichwa.
 
Hapo kuna namna.

1. Mishahara duni
2. Mazingira duni
3. Madaraja hakuna
4. Poromosheni hakuna

alafu zimefaulisha dah haya ni maajabu ya awamu ya tano. Kilakitu ni kudanganya tu
 
Nikweli lkn sidhani kwa kiasi hiko yaani hamna hata seminaries? Labda wengine hatujui vizuri mabadiliko ya kimaajabu yanayofanyika.
Seminary advanced hawafanyi vizuri,private zinazoweza kucompete Ni chache.O level ndo wanaongoza baada ya hapo wanafunzi wazuri wanaenda gvt hasa zile maalum kwa wanaofaulu vizuri.
 
Daaa..yaan kuna comment zingine ukisoma unatamani kumzaba kibao aliotoa u kumtusii.

Uko sahh mkuu..shule za gov. A level zipo vzur sana..huyoo alietoa hyo thread n punguani tuu..na hajielewi..huenda hajapatia elimu ya advance, tumuachee tu.
 
Labda mtuambie kwamba zile special zimerudi rasmi...
Kama ni cream sawa.
 
Daaa..yaan kuna comment zingine ukisoma unatamani kumzaba kibao aliotoa..au kumtusii..
Uko sahh mkuu..shule za gov. A level zipo vzur sana..huyoo alietoa hyo thread n punguani tuu..na hajielewi..huenda hajapatia elimu ya advance..tumuachee tuu..
Wengi hapa wametoa hoja kisomi na kitaalam...lkn kwenye msafara wa mamba ... huwa hamkosekani!!
 
shule za serikali za 'special' ni kawaida kuwa top 10 za matokeo ya form 6. Mtoa mada unaonekana sio mfuatiliaji mzuri kwa sababu hii sio stori kabisaaa, ungezikuta shule za kata hapo mada yako ingekua na mashiko. Ingekua shule yangu ya Mwakaleli au Lwangwa huko kijijini ina ufaulu mkubwa basi ningesema ni matokeo ya kubebwa lakini kisimiri,Kibaha come on!!!!!!!!!!

kisimiri, kibaha, mzumbe, ilboru, tabora (boys&girls) kuwa top 10 ya ACSEE ni jambo la kawaida kabisa. Ukibisha uwe na sababu za msingi
 
Tunapiga kazi Madaraja tu ndo hayapandi
 
Mkuu kumbuka wanaochaguliwa A level Serikalini ua wapo vizuri kwa asilimia kubwa na hao wa private wengi ni wale wanaoenda ili wawe na elimu ya A level lakini unakuta uku O level alizingua kiaina na pia asilimia kubwa ya wanaofaulu O level ua wanaenda kwenye shule wanazo pangiwa ndio maana unaona matokeo mazuri
 
hahahaa ni tahadhari tuu ili elimuyetu isije chezewa hasa nilipoona best 10 nashule wanazotokea ... uwekezaji kwenye elimu bado nimdogo serikali inapaswa kutoridhika kirahisi
Sio ajabu mkuu io ni sawa na kusema eti kisa mwanafunzi anatokea familia duni basi ndio awe anafeli hapana mtu unaweza kusoma kwa mazingira magumu na ukafaulu tu
 
Ndyo maana siku hizi ukiona mzazi anauza ngombe au shamba ili asomeshe mwanaye chuo kwa malengo kesho ataajiliwa na pesa itarudi lazima ushangae sana.
 
Chadema acheni porojo this is more than too much, kila kitu kupinga tu.Chukulia mkoa kama Simiyu wao wameanzisha makambi ya kujisomea, wanakutana na kufanya drill ya kutosha jointly sasa kwa nini wasifaulu.Shule nyingi zilizong'ara ni za vipaji maalumu.Leo hii Tabora boys mnataka kusema haikustahili shule kama Ilboru. Please guys show some respect and appreciation to the government. Mlizoeshwa eti shule xinazofanya vizuri ni za private, eti bila Feza top ten basi matokea ni ya kisiasa. Shit hole!!!
 
ungeweza kuchangia bila kutuonesha hicho kiungo chako ulichotaja
 
Halafu magazeti yanayofanana yote yana kichwa cha habari kinachofanana!
 
Hi awamu pendwa kila kitu inalazimisha tu wabunge feki wanaingizwa bungeni kwa nguvu ,inalazimisha matokeo feki ya mitihani daaah watu wamekua waoga wanafanya maamuz huku wakilinda matumbo yao na kumfurahisha jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…