Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu


Hoja yako ni ipi? Hutaki shule za serikali zifanye vyema au? Kisa tu awali vzr,walimu wake hawajalipwa mishahara minono n.k ww unsona ndo kigezo cha kufeli? Zikifaulisha ni kosa?
Mbona zikifelisha mnapandisha uzi umu kuzilaumu kwann zinazidiwa,
Binadamu siku zote nj vigeugeu
Enzi zetu sisis tunasoma shule za serikali ndo zilikuwa ongoza si olevel wala advance na mtu ukisoma private unaonekana kilaza
Naona sasa upepo unabadilika iwe kama zamani wewe unataka shule za private ziendelee kufeli☺☺
Kama umesoma private na umefeli ni wewe mkuu wapo walio faulu
 
Acha wivu mkuu.

Umeandika uongo na upotoshaji.
 
Ufaulu ni 98% eti,,,,kama wanafanya siasa sijui litakuja kuwa ni taifa la namna gani
 
Hi awamu pendwa kila kitu inalazimisha tu wabunge feki wanaingizwa bungeni kwa nguvu ,inalazimisha matokeo feki ya mitihani daaah watu wamekua waoga wanafanya maamuz huku wakilinda matumbo yao na kumfurahisha jiwe
Huwa hamufuatili baadhi ya mambo ..hayo matokeo ya advance hayana tofauti kumbwa na miaka mingine...
 
Mleta mada umeleta issue ambayo inatembea sana ktk magroup mengi ya shule! Usanii mkubwa kabisa umefanyika kuonyesha kuna kupanda kwa kiwango kikubwa cha ufauli hasa ktk baadhi ya shule za serikali kwa ajili ya 'kick' ktk uchaguzi huu. Ni jambo la hatari sana kwa mustakabadhi wa taifa letu. usanii huu hadi ktk elimu sijui tuendako itakuwa vipi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…