third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 713
- 1,745
👏👏👏Hakika sote ni waongo
Mkuu niliweka tahadhari umesoma kweli ?? Au ndio umeamua kuvurumusha makasiriko moja kwa moja??😂😂😂😂Hizo Ni dalili za mimba changa nenda kapime!
Mkuu niombe radhi hivi mimi shabab nauchebe wangu kabisa naweza kua na mimba changa??Hizo Ni dalili za mimba changa nenda kapime!
HakikaYaani mi naona OVESIII Kabisaaaa
1. Waislamu wanajihesabia haki mbele ya Mungu
2. Wakristo na dini nyengine hivyo hivyo.
Sasa kuna huu unafiki
1. Ndani ya ukristo kuna madhehebu ambayo kila dhehebu LINAJIHESABIA HALI.
2. Na ndani ya uislamu kuna madhehebu na kila dhehebu hujioja sahihi mbele ya Allah
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Bora iwe hivyo tu tukose wote.WAISLAM WANASEMA UKRISTO NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO.
WAKRISTO NA WAISLAM WOTE WANASEMA DINI YA KIYAHUDI NI YA UONGO.
NA WAYAHUDI WANASEMA DINI ZOTE 2 HAPO JUU NI UONGO.
NA MIMI NIMEAMUA KUKUBALIANA NAO WOTE KUA NI WAONGO👈
Wakati wanakueleza hayo wakristo,walikufungulia vifungu kwenye kitabu chao au walikuelezea yaliyomo vinywani mwao nawe ukatumbukia mzima mzima?WAKRISTO NA WAO WANASEMA UISLAM NI DINI YA UONGO.
Mkuu naona dozi inaendelea tu😁Hakika
🤣🤣🤣Mkuu naona dozi inaendelea tu😁