Sale#sare,maranyingi#mara nyingi,huwatunafungwa#huwa tunafungwa.Hutapata wachangiaji,hata kuandika hujui na inaonyesha shule ya msingi ulikuwa debe kichwani.Acha Uyanga/Uazam/Ukagera Sugar/ Usimba.Hii timu inawakilisha taifa,tuwape moyo wachezaji ili wakashinde.Sasa wewe unasema Watanzania tujiandae,kufanya nini?Mimi nasema Watanzania tujiandae kushangilia kwa nguvu kwani taifa star inaenda kushinda na kusonga mbele.Maranyingi timu yetu inapohitaji matokeo hata ya sale huwatunafungwa hata kama tunacheza na Timu mbovu lakini kunapokuwa hakuna haja ya matokeo hata kama tukicheza na Brazil tunaweza kuwafunga wengi wanahisi tayari tumesha wafunga Lesotho na kujipa matumaini kibao. Ni bora watanzania mjiandae kisaikolojia mapema