Tahadhari Taifa Stars vs Lesotho

Tahadhari Taifa Stars vs Lesotho

Intended

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
64
Reaction score
89
Mara nyingi timu yetu inapohitaji matokeo hata ya sare huwa tunafungwa hata kama tunacheza na Timu mbovu lakini kunapokuwa hakuna haja ya matokeo hata kama tukicheza na Brazil tunaweza kuwafunga.

Wengi wanahisi tayari tumeshawafunga Lesotho na kujipa matumaini kibao. Ni bora watanzania mjiandae kisaikolojia mapema
 
Maranyingi timu yetu inapohitaji matokeo hata ya sale huwatunafungwa hata kama tunacheza na Timu mbovu lakini kunapokuwa hakuna haja ya matokeo hata kama tukicheza na Brazil tunaweza kuwafunga wengi wanahisi tayari tumesha wafunga Lesotho na kujipa matumaini kibao. Ni bora watanzania mjiandae kisaikolojia mapema
Sale#sare,maranyingi#mara nyingi,huwatunafungwa#huwa tunafungwa.Hutapata wachangiaji,hata kuandika hujui na inaonyesha shule ya msingi ulikuwa debe kichwani.Acha Uyanga/Uazam/Ukagera Sugar/ Usimba.Hii timu inawakilisha taifa,tuwape moyo wachezaji ili wakashinde.Sasa wewe unasema Watanzania tujiandae,kufanya nini?Mimi nasema Watanzania tujiandae kushangilia kwa nguvu kwani taifa star inaenda kushinda na kusonga mbele.
 
Rekebisha heading isome Taifa Stars badala ya Taadhali STARS......Otherwise uwe umemaanisha
 
Back
Top Bottom