Tahadhari: Teja akikuomba pesa mpatie, hachelewi kukusingizia unauza madawa

Tahadhari: Teja akikuomba pesa mpatie, hachelewi kukusingizia unauza madawa

kuswekwa=kuwekwa
ujinga!inakuwaje wewe hujui kuandika kiswahili?
Mkuu usikosoe kiswahili fasaha kwa kiswahili chako cha mtaani.
Hapo Huyu mama ameandika kiswahili stahiki kwa muktadha wa hiyo sentence.

Kuswekwa - ndio sahihi na Wala sio kuwekwa.
 
Well, kwa sasa hiyo ni issue iliyopo na zaidi ni nia, hata Kinondoni na Muhimbili wanatoa hiyo tiba. Kuwacha uteja kwanza utake mwenyewe, pil, hizi jitihada za Serikali na hususan Makonda tuziunge mkono sote.

Serikali si ya kuilamu kwa hilo, haikukufundisha uteja na inajitahidi na tunaona jitihada zilizopo.
kuwacha [emoji808]

kuacha [emoji818]
 
Back
Top Bottom