Tahadhari tohara kwa watoto wa kiume!!!!! ALIJUMAA KARIAKOO ni hatari

Vakwavwe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2009
Posts
503
Reaction score
100
WAnajamii forums, hasa wenye watoto wa kiume wanaopanga kuwatahiri.....
Nina ushauri ufuatao...imekuwa kawaida ukimuuliza mtu sehemu ya kufanyia tohara wanakuonyesha Kariakoo kwa ALIJUMAA

Kilichomtokea mwanangu aged nearlly 6yrs,wamemtahiri kwa kutumia kiring kidogo kuliko shafti ya mtoto na matokeo yake kimemuumiza sana for a week na ndo tumekuja kujua kuwa hakiponi tumempeleka kwa daktari mwingine ambaye ametushangaza sana....anasema tulimuwka mtoto kwenye risk kubwa sana na amefanyiwa operation kubwa kabisa ya kumpiga nusu kaputi...whAt they did is a total mess,viring vipo meant kwa watoto under th age of 2yrs while my boy is nearly 6 you can immagine.

Nasema watu wawe makini kwa kuwa daktari huyu ananiambia kuna watoto wanapata complecation mpaka wanakufa wakitokea hicho kidispensary mshenzi....hata mfagizi anatahiri pale,b carefull and love your kids,usimfanyie mAjaribio....nimekomaje! Na ndio nimejua ughali wa vitu vya rahisi.
 
Pole sana mpe na pole mtoto , mambo ya watoto wazazi inatupasa kuwa makini sana, Nashukuru kwa kuweza kutukumbusha. Poleni sana
 
Pole sana ndugu zangu hawa madaktari wa kibongo wazembeeeeeeee, kila siku kudai kuongezwa mishahara.
 
WAnajamii forums, hasa wenye watoto wa kiume wanaopanga kuwatahiri.....
Nina ushauri ufuatao...imekuwa kawaida ukimuuliza mtu sehemu ya kufanyia tohara wanakuonyesha Kariakoo kwa ALIJUMAA

Kilichomtokea mwanangu aged nearlly 6yrs,wamemtahiri kwa kutumia kiring kidogo kuliko shafti ya mtoto na matokeo yake kimemuumiza sana for a week na ndo tumekuja kujua kuwa hakiponi tumempeleka kwa daktari mwingine ambaye ametushangaza sana....anasema tulimuwka mtoto kwenye risk kubwa sana na amefanyiwa operation kubwa kabisa ya kumpiga nusu kaputi...whAt they did is a total mess,viring vipo meant kwa watoto under th age of 2yrs while my boy is nearly 6 you can immagine.

Nasema watu wawe makini kwa kuwa daktari huyu ananiambia kuna watoto wanapata complecation mpaka wanakufa wakitokea hicho kidispensary mshenzi....hata mfagizi anatahiri pale,b carefull and love your kids,usimfanyie mAjaribio....nimekomaje! Na ndio nimejua ughali wa vitu vya rahisi.

Kama una uhakika na unachokisema kwa nini usiwashitaki? au hukupata risiti?
 
Back
Top Bottom