Mdada96
Member
- Aug 15, 2017
- 76
- 153
Hello
Wapendwa haswa kina dada kuna tabia imeibuka currently mjini humu DSM, sijajua kwa mikoani. Gari haswa hizi private zina offer lift waweza dhani ni msamaria mwema lakini ni wezi ukiingia humo hatujui nini wanakufanyia ila kama una kadi ya benki utawapa na password utatoa, simu na pochi vinabebwa na anakutupa ukiwa haujitambui. Tuweni makini jamani ni hayo tu kwa leo.
Tuzidi kuchukua tahadhari na tusiamini watu kirahisi hivyo maana wazuri na wabaya wote wapo duniani ...
Wasalaamu
Mdada💇