Hizo ni story tu hakuna ukweli wowote.
Watu wa Dar kwa kutunga story ambazo hazina kichwa wala miguu hawajambo.
Sasa unampaje mtu lift humjui? Pili, wakishakuibia wanakuacha wapi ama wanakuacha unaendelea kuendesha gari hadi kazini ama sokoni ulikokua unaenda?
Juzi hapa walitunga story eti mwizi kaiba atm card kaenda akatoa milioni 35, unajiuliza atm mashine ya wapi mtu anatoa 35m, eti akatoa mpesa 20m.
Wanawake wa dar kwa kutunga story zisizo na akili hawajambo. Hadi hua najiuliza hivi dar imejaa wanawake zero brain ama?