Unauliza makofi polisi?! Halafu mleta mada utatuvurugia wengine ambao ni wasamaria wema.Hivi mtu unapewaje lift na mtu humjui???
Na unaingia garini kwa kujiamini kabisa!!!😏😏
Mwandiko wa kiume lakini mwandishi wa kike, Mdada.Hello
Wapendwa haswa kina dada kuna tabia imeibuka currently mjini umu dsm sjajua kwa mikoani ...gari haswa izi private zina offer lift waweza dhani ni msamalia mwema lakini ni wezi ukiingia umo hatujui nini wanakufanyia ila kama una kadi ya benki utawapa na paswedi utatoa,simu na pochi vinabebwa na anakutupa ukiwa haujitambui ...tuweni makini jamani ni ayo tu kwa leo....
Tuzidi kuchukua tahadhari na tusiamini watu kirahisi ivyo mana wazuri na wabaya wote wapo duniani ...
Wasalaamu
Mdada💇
Wapenda mseleleko hawajali hiiHivi mtu unapewaje lift na mtu humjui???
Na unaingia garini kwa kujiamini kabisa!!![emoji57][emoji57]
Huu mtego utakua wanawapata wadada tu.Hivi mtu unapewaje lift na mtu humjui???
Na unaingia garini kwa kujiamini kabisa!!!😏😏
Na kwann ukubali lift ,tunajitakia wenyew jamen!?Hello
Wapendwa haswa kina dada kuna tabia imeibuka currently mjini humu DSM, sijajua kwa mikoani. Gari haswa hizi private zina offer lift waweza dhani ni msamaria mwema lakini ni wezi ukiingia humo hatujui nini wanakufanyia ila kama una kadi ya benki utawapa na password utatoa, simu na pochi vinabebwa na anakutupa ukiwa haujitambui. Tuweni makini jamani ni hayo tu kwa leo.
Tuzidi kuchukua tahadhari na tusiamini watu kirahisi hivyo maana wazuri na wabaya wote wapo duniani ...
Wasalaamu
Mdada💇
🤣🤣🤣🤣Unauliza makofi polisi?! Halafu mleta mada utatuvurugia wengine ambao ni wasamaria wema.
Acha majungu.Mwandiko wa kiume lakini mwandishi wa kike, Mdada.