Tahadhari: Uporaji kwa wanaopewa lift na magari binafsi waibuka

Mtoa lift umeona uingie front kupambania Kombe.
 
Mwandiko wa kiume lakini mwandishi wa kike, Mdada.
🙄🙄
Haijakukuta bado au m2 wako wa karbu hajakutwa nalo ...usivyovijua bora kukaka kimya
 
Huu wizi mimi mwenyewe nilikuwa nataka nije kuufanya hapo dar na kaIST ka uncle Bashite
 
mnatuharbia sisi wasamaria wenye moyo safi tunaowapa lift wadada hususan wanachuo njiani
 
Walikuwa Masaki na Oysterbay.
 
Ukiniona nilivyo muungwana hutapata hofu utapanda tu. ILA binadamu amekuwa wa kuogopwa kuliko mnyama.
Ukitembea usiku kwa mbali ukiona mtu anakuja unahama upande lakini ukiona mbuzi.ng'ombe au mbwa wala hupati shida ya kuhama upande
 
Whether you look good enough to eat, it's a no.

It's public transport for me.
 
Lift naomba kwenye gari zifuatazo

Gari za mizigo

Gari za Polisi

Gari za Jeshi (JWTZ)

Gari za Taka😅

Gari nyinginezo serikalini

Private cars mnisamehe lift ntawaomba katika emergence states only.

Hata wanaume na sisi tunaogopa kubakwa
 
Hivi ukiwa na zile spray sijui za pilipili hazifai kusaidia kujiokoa?
Naombeni anayeweza kunisaidia kupata hizo spray. Hii Dunia inaenda kasi sana ingawa kuna wakati inaenda kistaarabu.
 
Lift naomba kwenye gari zifuatazo

Gari za mizigo

Gari za Polisi

Gari za Jeshi (JWTZ)

Gari za Taka😅

Gari nyinginezo serikalini

Private cars mnisamehe lift ntawaomba katika emergence states only.

Hata wanaume na sisi tunaogopa kubakwa
Sasa mwanaume unaombaje lift?
 
Sasa mwanaume unaombaje lift?
Kaka maisha haya, kama hayajakukuta usijiulize wengine wanashindwaje!

Fikiria uko zako Ugenini, umeibiwa kila kitu, huwezi omba msaada wa kusogezwa sehem flani unakoweza kupata msaada?
 
Kaka maisha haya, kama hayajakukuta usijiulize wengine wanashindwaje!

Fikiria uko zako Ugenini, umeibiwa kila kitu, huwezi omba msaada wa kusogezwa sehem flani unakoweza kupata msaada?
Lift zinazojadiliwa hapa hadi watu wanakabwa ni za waporaji. Yaani watu wanakuja na gari tu kaka,dada twende tukusaidie na huna shida yoyote. Sio emergency, maanake emergency hata hio kufikiria utakabwa haipo.
 
Huwa sipandi lift ya mtu simfahamu aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…