Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Nikikimbuka mbwembwe za D9club ilikuwa bado chembe niingie...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] me sipo huko....[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..mkuu natengua kauli.
Mbona umepaniki sasa vipi kwani..... ??Mkuu unajua unachokisema kuhusu ONTARIO? Unamfahamu vizuri? Usichafue majina ya watu kwa kitu usichokijua.
Hahahaha watu nabiashara zao.[emoji1] [emoji1] me sipo huko....
Lady furahia maisha yako tu wengine waache......kabisa yaani mtu anatapeliwa kijinga
Nimechukizwa na wajingawajinga wanaopenda kuharibu majina ya watu.Mbona umepaniki sasa vipi kwani..... ??
[emoji16] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only.
Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk.
Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana kwa jina la veronica Anthony. .na kijana mmoja ambae anajitambulisha kama mdogo wake veronica.Anthony wiliam lwitiko.huyu kwa uchunguzi ni mwanafunzi wa UDOM yupo pale natural mathematics and science. Mpaka sasa wameshawaliza watu zaidi ya tsh mil 300 na bado wanaendeleza utapeli huo.
Ndugu zangu kuweni makini na link mbalimbali zinazokuambia jiunge group fulani uanze na mtaji mdogo wa 20000 tu eti utajipatia mpaka 25ml kwa muda mfupi.uongo uliokithiri huo....
Nimeona tushirikishane maana hawa jamaa mpaka sasa ni wanted lkn bado wanaendeleza utapeli huo kila kona.
Yaani watu waibe hadi sh300 mil wasikamatwe?Kumekuwa na makundi tofauti tofauti katika whatsapp yanayoibuka Ili kumvutia mtu awekeze pesa ili wajanja wazipige kwa kisingizio cha kutrade ili upewe mpaka 70%ya mtaji wako in 4days only.
Makundi hayo ni kama tajirika na forex,forex investors nk.
Vinara wa wizi huu ni Dada mmoja anaejulikana kwa jina la veronica Anthony. .na kijana mmoja ambae anajitambulisha kama mdogo wake veronica.Anthony wiliam lwitiko.huyu kwa uchunguzi ni mwanafunzi wa UDOM yupo pale natural mathematics and science. Mpaka sasa wameshawaliza watu zaidi ya tsh mil 300 na bado wanaendeleza utapeli huo.
Ndugu zangu kuweni makini na link mbalimbali zinazokuambia jiunge group fulani uanze na mtaji mdogo wa 20000 tu eti utajipatia mpaka 25ml kwa muda mfupi.uongo uliokithiri huo....
Nimeona tushirikishane maana hawa jamaa mpaka sasa ni wanted lkn bado wanaendeleza utapeli huo kila kona.
Mkuu Hilo group lilikuwa na watu 192.na wengi humo walikuwa wameinvest mpaka 3mil kwa kichwa.japo walikuwwpo mpaka wa 50k.Yaani watu waibe hadi sh300 mil wasikamatwe?
Kwa hiyo walooibiwa wamechukua hatua gani?Mkuu Hilo group lilikuwa na watu 192.na wengi humo walikuwa wameinvest mpaka 3mil kwa kichwa.japo walikuwwpo mpaka wa 50k.
lkn hela hazikulipwa toka tarehe 30-9 mpaka 09-10.
Mbona umepaniki Mkuu, mpe taarifa ya unachojua, ndio ustaarabu. Kwa lugha kali hii nani atataka kusikia mawazo yako?!!Wewe ni mshenzi na mpumbavu Wa kiwango cha reli ya Standard Gauge, unaanzaje kufananisha Deci na Forex !!!! Vitu kama hujui uwe unauliza Mkuu acha kushadadia mambo
Zipo kesi zimefunguliwa mahali tofauti nchi nzima lkn pia watu wa tressing wanaendelea kuwatresz watu anaowasiliana nao na mpaka jana isue inaenda poa. Nadhani ushirikiano wa tcra,polisi na makampuni ya simu uliopo hivi sasa utatoa majibu mazuri muda wwtKwa hiyo walooibiwa wamechukua hatua gani?
Huyo anaekuita mshenzi atakuwa ni mmoja wawatuhumiwa kwa povu hiloZipo kesi zimefunguliwa mahali tofauti nchi nzima lkn pia watu wa tressing wanaendelea kuwatresz watu anaowasiliana nao na mpaka jana isue inaenda poa. Nadhani ushirikiano wa tcra,polisi na makampuni ya simu uliopo hivi sasa utatoa majibu mazuri muda wwt