Chendembe
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 444
- 488
Niwasilishe maskitiko yangu kwa kutochezwa kwa mchezo wa Simba na yanga 8. 5. 2021.
Naitazama yanga na naitazama TFF na nawatazama viongozi wa Yanga naiona hatari mbeleni. Najiuliza hawa viongozi wanazifaham Simba na Yanga? Ivi leo hii Simba au Yanga ishushwe daraja tu moja athali zake wanazifahamu viongozi hawa?
Ninamashaka na Uongozi mzima wa Yanga kwa busara, uwezo wa uwongozi na hata manufaa ya Amani ya Taifa. Nawaona wanalinda maslahi yao zaidi.
Tafadhali serikali, iwaangalie kwa jicho la kipekee viongozi wa Yanga kwa maslahi ya nchi yetu.