- Thread starter
- #21
Asante Mtazamo.Mambo ya CCM watajua wenyewe maana wamelea kansa wenyewe na sasa kila dawa kwao wanaona ni adui. Labda unabii wa Nyerere wa upinzani wa kweli kutokea CCM utimie haraka ili tujenge Taifa lenye manufaa kwa wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mtazamo.Mambo ya CCM watajua wenyewe maana wamelea kansa wenyewe na sasa kila dawa kwao wanaona ni adui. Labda unabii wa Nyerere wa upinzani wa kweli kutokea CCM utimie haraka ili tujenge Taifa lenye manufaa kwa wengi.
Karibu bwana OmertaGood narrative
Zipo lugha angetumia sio Uhafidhina, msingi wa chama chake ni uhafidhina ingawa sasa kimatendo ni tofauti. Uhafidhina ni itikadi sio tabia! Vitu kama unafiki ni tabia tu.Uhafidhina sio kitu kibaya kwa maana ya lugha ya uhafidhina. Lakini kwa mazingira yetu na linavyotumika ni kuwa Mhafidhina ni mtu mbinafsi, mtu mnafiki na asiyependa kusikiliza maoni ya watu wengine. Ni mtu wa kujipenda mwenyewe na kudanya anavyotaka.
Hii ndio maana aliyomanisha Mh Rais.
Hakika!Bahati Bukuku kwenye hilo song anasema
"Msamaha unamuua mpumbavu na humwinua mtu mwelevu"
Sawa Mtazamo. Tabia inapokuwa inaungwa mkono na watu wengi na kuwa applied kwenye mfumo fulani wa maisha. Ni sawa kabisa ukiuita Uhafidhina.Zipo lugha angetumia sio Uhafidhina, msingi wa chama chake ni uhafidhina ingawa sasa kimatendo ni tofauti. Uhafidhina ni itikadi sio tabia! Vitu kama unafiki ni tabia tu.
Mfano mzuri sisi Wakatoliki wapo wahafidhina wanaotaka tushike mapokeo tuliyoyapokea karne nyingi bila kubadilisha kitu! Wapo wanao challenge mabadiliko mfano namna ya ku handle mashoga kwenye huduma! Kuwa na mapadre wanawake n.k
Tofauti za kiitikadi ndio zinazoleta tofauti ya hivi vyama. Kuna watu ndani ya Chadema wanaamini hawawezi kwenda ikulu kwa maridhiano na CCM! Wanaamini hii ni mitego tu! Wapo waliolegea sababu ya ku suffocate na kibano cha JPM sasa hawaamini tena kama wanaweza kupambana na CCM bila maridhiano.
Muda ni mwalimu mzuri
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Tia neno Mkuuaiseee
Na ndivyo walivyo wahafidhina wa hapa Nchini !! Yaani exactly kama ulivyoeleza hapo juu ! Yaani hawaoni tatizo kumfanyia mtu ubaya wowote ule na wa namna yeyote ile mradi tu yule mtu ana mitizamo tofauti na wao !!Uhafidhina sio kitu kibaya kwa maana ya lugha ya uhafidhina. Lakini kwa mazingira yetu na linavyotumika ni kuwa Mhafidhina ni mtu mbinafsi, mtu mnafiki na asiyependa kusikiliza maoni ya watu wengine. Ni mtu wa kujipenda mwenyewe na kudanya anavyotaka.
Hii ndio maana aliyomanisha Mh Rais.
Midset yao huwa ni umimi umimi na kuona wengine hawastahili chochote kile bali wao ndio wenye hati miliki ya kila kitu !! Kwa kawaida huwa ni ngumu kwao kubadilika kwa hiari !!Wasilikilizwe matakwa yao kama yana vigezo kitaifa wasipuuzwe.
Kwanza nitoe Pongezi zangu Nyingi kwa Viongozi wa Kitaifa akiwemo Mh Rais Samia Suluhu Hassan, rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania.
Pongezi zingine ziwaendee viongozi wakuu wa vyama vya siasa Mh Freeman Mbowe na Mh Zitto Zuberi Kabwe. Bila kuwasahau na wananchi wote wenye Mapenzi Mema.
Tatu sitaweza kuwasahau pia viongozi hawa kwa upekee kabisa Askofu Emaus Mwamakula na Lecturer Dr Lwaitama kwa Nasaha zao za kila siku kuhusu Amani, umoja na haki ktk Taifa letu la Tanzania.
Hivi Karibuni niliandika kuhusu Generali mmoja wa Jeshi la Israeli anaitwa Yoabu. Huyu alikuwa kiongozi wa juu majeshi yote ya falme hiyo wakati wa Utawala wa Mfalme Daudi Kusini mwa Israeli yaani Hebroni.
Ktk makala ile ilikuwa kwa mfumo wa Swali, Je Tanzania kuna Yoabu? Pengine kutokana na uwasilishaji wangu( mimi sio mwandishi) kuna baadhi ya wasomaji hatukuelewana. Sio kosa!
Sisi wengine wenye imani nyingi za hapa na pale kila jambo huwa tunalipima na kulitazama kwa mujibu wa imani zetu. Elimu ya dini tunaitumia kama reference kwenye mazingira yetu ya sasa.
Juzi Tarehe 8 Machi Mh Rais Suluhu alihutubia Taifa akiwa kwenye Jukwaa la wanachama wa Chadema, baraza kuu la wanawake lenye heshima afrika mashariki na kati.
Ktk hotuba yake aligusia uwepo w watu conservatives yaani wenye misimamo isiyobadilika hata kwenye jambo lenye Maslahi ya Kitaifa. Hawa watu sometimes ni watu hatari. Alisema wapo CCM na Wapo Chadema.
Abneli Mwana wa Neli alikuwa ni Mkuu w Jeshi la Mfalme Sauli Yerusalem. Yeye alikuwa coordinator wa shughuli zote za ulinzi na maslahi ya ufalme wa Saul kipindi ambacho Mfalme Sauli alikuwa na migogoro ya kiutawala dhidi ya Mfalme Daudi.
Hofu ya Sauli ni kuhusu Daudi anayetaka kuchukua ufalme wa Israel yote yaani Hebroni na Yudea( Yerusalem).
Kulipiganwa vita mbali mbali kati ya Daudi na Sauli na kati ya Daudi na Wafilisti( waparestina).
Kutokana na uhasama kuwa mkubwa upande wa Sauli ulianza kushindwa kuhimili mapambano. Watu wa Sauli walikufa wengi, na wengine kubaki walemavu.
Jemedali Abneli mwana wa Neli akatumwa Mission kwenda kwa Mfalme Daudi kukaa kwa amani na kuridhiana ili suluhu ipatikane bila kuumiza wananchi wao.
Ugeni kwa upande mmoja ukiongozwa na Abneli na upande wa pili akiongozwa Mfalme Daudi Mwenyewe katika Ikulu yake.
Kitendo kile cha kufanya mazungumzo ya amani hakikumfurahisha General Yoabu. Alianza kuona Abneli anaweza kuwa Royal kwa Daudi na hivyo kuna uwezekano Abneli anaweza kuchukua nafasi ya Yoabu.
Ikawa walipomaliza maridhiano Daudi alisindikia msafara wa Abneli baadae akarudi Ikulu.
Wakati huo huo Mwanajeshi Katiri aoiyekuwa na roho mbaya kuwahi kutajwa katk Biblia Yoabu alikuwa ametoka kuongoza Vita huko Gathi kwa wafilisti na wa Amaleki.
Alipofika Ikulu akadokezwa kuwa muda mfupi uliopita Abneli alikiwa Ikulu akifanya mazungumzo na Mfalme.
Basi akapiga mbio kuwafata akina Abneli.
Kwa kuwa Abneli aliamini ni wakati wa amani na yakale yamekwisha si ndweli alisimamishwa na Yoabu akimwambia anataka wasalimiane na kukumbatiana.
2samweli 3: 24-25
Raraabii!! Abneli akaamini akamkumbatia Yoabu. Kumbe Yoabu alikuwa anaongozwa na Hila. Alikuwa ameficha kisu Mfukoni kwa nyuma. Wakati wakisalimia kwa amani Yoabu akamchoma Kisu tumboni. Abneli mwana wa Neli akafariki palepale.
Taarifa za Kifo cha Abneli zilisambaa kwa kasi sana. Nchi nzima ya Israel ikaingia kwenye majonzi makubwa. Hofu na vilio vikatawala. Nchi nzima wakafunga na kusali kwa siku Tatu wakiomboleza.
Mfalme Daudi alisikia habari zile zikamsikitisha sana. Akalia na kuomboleza mbele ya Raia wake. Hata ushindi waliopata kule Amaleki ukaingia doa.
Daudi analia mbele ya Kaburi la Abneli akisema imekuwaja Abneli umekufa kizembe hivyo? Kwani ulifungwa miguu na mikono?
Kosa la Daudi ni kusahau kukumbuka kuwa ndani ya Utawala wale kuna Wahafidhina wasiopenda utengamano. Wasiopenda amani kwa wengine. Yaani kwao bora vita na mateso kuliko umoja na mshikamano.
Yoabu alitumia vita na vurugu kujinufaisha na kupata umaarufu kwa kuwa alijua kupigana na siraha za kutosha aliweza kuzitumia vyema. Hivyo alibaki kuwa ni kipenzi cha Mfalme.
Kwa lugha nyingine nje ya vita na uhasama Yoabu alikuwa hana sifa nyingine. Hana cha kumuonesha Mfalme. Hana maana na hana kazi. Hivyo migogoro kwake ilikuwa na Advantage kubwa bila kujali Mfalme alikuwa akichukizwa na hali ile. Ilifikia hatua Yoabu akamuua Mtoto wa Daudi kwa kumchoma Mkuki moyoni na mfalme akabaki analia tu asimfanye kitu Yoabu kwa kuwa alijua bila Yoabu vita nyingi vya maaduni asingetoboa. Hivyo mfalme alibaki kufadhaika moyoni tu.
Kwa Upande wa Viongozi wetu wa Kitaifa wameligundua hilo. Ni muhimu sana kuongeza umakini dhidi ya wahafidhina wasije wakavuruga hii mipango mizuri.
Na Mwenyezi Mungu awasimamie na kuwabariki sana.
Nimesikia kuna vikao vinaendelea kwa maslahi ya Taifa. Mungu awajali mkafanikishe jambo hili mweze kuwatumikia Wana wa Mungu wa Tanzania kwa mafanikio makubwa.
Asalam Aleykum.
2Samwel3: 20-39.

Hao hawajaacha ila wameuboresha kimkakati lakini uyaonayo mbele ni kivuli tu. Mambo yao msimamo wao ni ule ule ila kwenye uchumi ndio wameboresha kwa kivuli cha majasusi. Mfano matajiri wengi wa hizi nchi ni majasusi na wana invest all over the world lakini wao ni vivuli tu.Sawa Mtazamo. Tabia inapokuwa inaungwa mkono na watu wengi na kuwa applied kwenye mfumo fulani wa maisha. Ni sawa kabisa ukiuita Uhafidhina.
Ofcourse uhafidhina sio jina baya maana ni itikadi lakini umepelekea matokeo hasi kwa mara nyingi unapotumika kwa dunia ya leo.
Mfano Ccm imekopi huo uhafidhina huko Urusi na China ambapo china yenyewe imeshaachana nao. Imebaki ni jina tu in Practicea haupo real.
Ni kweli labisa. Asaheli ndugu yake Yoabu aliuawawa wakiwa vitani.Mkuu ujumbe wako ni mzuri Ila Kwa kuongezea tu hapo kwenye nukuu ya biblia kama ilivyoandikwa. Imeandikwa kwamba Yoabu alimwua Abneli Kwa akili ya damu ya Asaheli ndugu yake, ambaye aliuwawa na Abneli.
2 Sam 3;27
Sahihi.kimkakati lakini uyaonayo mbele ni kivuli tu. Mambo yao msimamo wao ni ule ule ila kwenye uchumi ndio wameboresha kwa kivuli cha majasusi
Sababu ya Abneri kumuua ASaheli ilikuwa migogoro ya muda mrefu.Abneri ma Yoabu ilikuwa kisasi sio ishi ya uhafidhina.
Abneri alimuua ndh yake na Yoabu hivyo ilikuwa ni nafasi pekee ya Yoabu kulipa kisasi kwa Abneri
Unaongelea huyu anayeimba?Hiyo picha hapo chini ya dada shombeshombe inahusiana na huu uzi mkuu? Ni nan huyu shombeshombe?
Ndicho alichosema Mh Rais Samia.Midset yao huwa ni umimi umimi na kuona wengine hawastahili chochote kile bali wao ndio wenye hati miliki ya kila kitu !! Kwa kawaida huwa ni ngumu kwao kubadilika kwa hiari !!
Kuna kosa la kiuongozi Daudi alifanya.Sababu ya Abneri kumuua ASaheli ilikuwa migogoro ya muda mrefu.
Mtu haamki asubuhi tu na kumua mtu. Kambi mbili za Daudi na Sauli zilikuwa ktk uhasama mkubwa wa muda mrefu.
Lakini pamoja na maridhiano kufanyika siku hiyo hiyo Yoabu analipiza kisasi na kuharibu mipango yoote ya Daudi ya usuluhishi.