Tahadhari watumia pombe kali!

Ukinywa hizi za Tz mfululizo kila siku hata ml 200 tuu kwa mwezi mmoja chakula unakichukia hata kukiona.

Ni maajabu wakati fulani zile "Malawi, Power one" walizipiga marufuku wakati hizi za Tanzania Ni mbaya zaidi.
 
Akahamia kwenye mbao?
 
Sisi wa Kidimbwi tunakunywa Moet & Chandon tu . R.I.P
 
Kwahiyo tatizo ni pombe au tatizo ni chakula, tuweke sawa comrade!

Haya tukiacha pombe kali wewe mapendekezo yako ni tunywe pombe gani?

Yote kwa yote tusipokunywa pombe mtaunganisha kilio cha kulipia ada watoto wenu na hiki cha mafuta...
Umesahau kumwambia aweke picha
 
Ngoja mwakani nikapime ini na figo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…