Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwenye swala la kuumwagilia moyo na vitu vikali siwezi acha maana ndo unapata afadhari na mambo ya dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sasa si kama unakunywa almost pure alcohol na impurities hizo 4% za kuongeza flavor tu?Mkuu hebu tuambie hiyo pombe kali aliyokuwa anakunywa ni ipi? Maana hizo pombe kali zina ABV na Percentage Proof tofauti tofauti. Usije kuta alikuwa anakunywa mnyama kama huyu.View attachment 2189584
Seriously?Ukipiga pombe vizuri unapata ujasiri wa kulipa tozo yoyote bila manung'uniko.
Absolutely!Unakuwa na dharau sana,mbishi na kuona kila jambo ni dogo tu.Unakuwa hauna noma na mtu wala vitu.Seriously?
Akahamia kwenye mbao?Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi.
Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki.
Kula chakula alikuwa mvivu.
Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu!
Sasa Jumanne tumefika ofisini(tulikuwa ofisi moja), saa mbili, saa tatu, saa nne, mmmh! kimya hakuna mtu.
Nikamfuata nyumbani kwake. Gonga mlango weee! kimya.
Nikaita majirani, nikapiga simu ofisini.
Uamuzi ikawa kuvunja mlango.
Mshangao! Jamaa amelala usingizi mzito, chupa pembeni.
Postmortem, no food at all. Liver failure!!
Comrades be careful!!
Sisi wa Kidimbwi tunakunywa Moet & Chandon tu . R.I.PMwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi.
Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki.
Kula chakula alikuwa mvivu.
Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu!
Sasa Jumanne tumefika ofisini(tulikuwa ofisi moja), saa mbili, saa tatu, saa nne, mmmh! kimya hakuna mtu.
Nikamfuata nyumbani kwake. Gonga mlango weee! kimya.
Nikaita majirani, nikapiga simu ofisini.
Uamuzi ikawa kuvunja mlango.
Mshangao! Jamaa amelala usingizi mzito, chupa pembeni.
Postmortem, no food at all. Liver failure!!
Comrades be careful!!
Tatizo ni msosi.Tatizo Ni pombe usinywe nyingi alafu msosi ule wa maana sio unagusa gusa
Aisee,nimekupata mkuuAbsolutely!Unakuwa na dharau sana,mbishi na kuona kila jambo ni dogo tu.Unakuwa hauna noma na mtu wala vitu.
Hiyo ukipiga shot moja unahisi umegongwa nyundo ya kichwa.Hii sasa si kama unakunywa almost pure alcohol na impurities hizo 4% za kuongeza flavor tu?
hii kitu inaweza kumalizwa na mtu mmoja kweli ?Mkuu hebu tuambie hiyo pombe kali aliyokuwa anakunywa ni ipi? Maana hizo pombe kali zina ABV na Percentage Proof tofauti tofauti. Usije kuta alikuwa anakunywa mnyama kama huyu.View attachment 2189584
Wanakunywa acid.Nchi kama bongo si za kunywa pombe kali. Nyingi ni fake.
1.75 litres? Hapo hata watu kumi hawamalizi. Mkuu hiyo ukinywa hata 200ML unakufa. Tena usije ukanywa kavu.hii kitu inaweza kumalizwa na mtu mmoja kweli ?
Umesahau kumwambia aweke pichaKwahiyo tatizo ni pombe au tatizo ni chakula, tuweke sawa comrade!
Haya tukiacha pombe kali wewe mapendekezo yako ni tunywe pombe gani?
Yote kwa yote tusipokunywa pombe mtaunganisha kilio cha kulipia ada watoto wenu na hiki cha mafuta...