hodii nyumbani
New Member
- Oct 31, 2014
- 1
- 5
Tega kidumu Cha Petrol kwa Chini hio ndio tracking device pekee ya kukomesha weziHapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani,
JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
Ndio anataka betri tu la afu 40 alafu basiYaani mwizi afungue gari halafu anachukua battery tu? Wezi wa huko wanahuruma sana
Awe specific ni kitaa ipi exactly au labda ni makambi, Matogoro, Mateka, Majengo, Ruvuma, Lizaboni, Mkuzo etc.. 😊Songea mjini mitaa ipi Bombambili,Mahenge,Mfaranyaki,Matarawe,CD Farm,Ruhuwiko,Shule ya Tanga au Mji mwema. Wekeni mtego wa kuwakamata au kujua sehemu wanazouza kama ni gereji za SIDO au mfaranyaki
Hahahaaa kwamba inawezekana wizi umetokea mara moja tu kule Soko kuu madamba, ruhuwiko, namanditi, lilambo, litisha, nakahuga au Lipinyapinya kule Peramiho halafu anaisingizia Songea nzima [emoji16]Awe specific ni kitaa ipi exactly au labda ni makambi, Matogoro, Mateka, Majengo, Ruvuma, Lizaboni, Mkuzo etc.. [emoji4]
Wangoni wanaacha kuiba vitu vya msingi wanaiba N40 ya Chloride Exide. Used ni elfu 40.