KY inaingiaje hapaš au kwasababu mstaafu fulani anawalainishia kina delicious?Nimekumiss ni kama KY kwenye mesejiš hizo meseji za hivyo huwa sijibu!
Duniani hakuna Siri.
Ungeona watawala walivyomkandia shangazi dhidi ya haki za mashoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KY inaingiaje hapaš au kwasababu mstaafu fulani anawalainishia kina delicious?Nimekumiss ni kama KY kwenye mesejiš hizo meseji za hivyo huwa sijibu!
Mmhh how?? Naomba ufafanue tafadhali tusije tukalizwaUtapeli mwingine upo kwa mawakala wa Nmb Crdb mnapo fanya malipo hakikisha kiasi kwa kupatiwa risit ya mashine ya Bank husika now watu wanaibiwa sana
ChaaaahMimi nina Duka la AGROVET.. nikiwa Dukani, alifika jamaa amevaa cap na barakoa akaulizia mbegu za alizeti. Baada ya kumjulisha bei aligoma kununua akidai kuwa bei aliyojulishwa ni ndogo.
Nilimshauri aende kwenye maduka mengine ajiridhishe bei, lakini alinijulisha kuwa atamsubiri aliyemuagiza maana yupo njiani kuelekea mjini. Mi niliendelea na mishe zangu kumbe jamaa alitoka nje akawa amekaa kwenye kiti kilichopo nje ya Duka.
Baada ya masaa kadhaa nilitoka nje ili nikapate chakula, nikamkuta jamaa amekaa nje.. alivyoniona akaniambia jamaa anakaribia kufika hivyo nimvumilie kidogo.
Nimerudi dukani kama dk 5 hivi nikashangaa jamaa ameingia dukani ameshika laptop mpya, akaniambia kuna jamaa anataka kumuuzia laptop anaomba aitest kwenye chaji.
Baada ya kuiweka kwenye chaji aliomba aende kutafuta flash ili aweke movie ajaribu kuitest laptop, aliondoka na baada ya dk kama 5 tena alirudi akiwa amepaniki kidogo akaiomba laptop akaitia kwenye begi akaondoka zake.
Baada ya dk 15 aliingia mshikaji mmoja akamuulizia , mi nikamjulisha kuwa yule ni mteja tu na ameondoka.. jamaa jasho likamtoka .. kumbe huyo mshikaji anauza laptop aliongea na huyo taperi akamdanganya kuwa anamiliki duka langu hivyo aletewe laptop hapo.
Baada ya kukagua laptop wakiwa nje ya duka alimwambia asubiri aiweke laptop ndani then waelekee benki akamchukulie pesa, walipofika kwa wakala wa benki jamaa akamwambia amsubiri dk 3 achukue simu amesahau dukani.. ndo hakurudi tena hadi leo.
Tuwe makini ndugu zangu.. bahati nzuri huyo jamaa alikamatwa..
Mnatakiwa mkauziane kwa makubaliano Polisi na au kwa mwanasheria au ofisi za serikali ya mtaa anapotoka.Kwenye issue ya cm used au za kununua mikononi nahisi box Ni la muhimu sana, ukinunua simu ya mtu mkononi muambie akupe na box lake.
Kuna siku nilitaka kutumiwa hela kupitia hawa mawakala. Aliyekuwa anataka kutuma akaenda kwa wakala wa NMB akaambiwa eti mashine yake huwa haitoi risiti. Mtumaji akashtuka na kughairi badala yake akaenda bank kutuma.Utapeli mwingine upo kwa mawakala wa Nmb Crdb mnapo fanya malipo hakikisha kiasi kwa kupatiwa risit ya mashine ya Bank husika now watu wanaibiwa sana
Najaribu kutafakari adhabu alizokutana nazo..... nadhani ukoo mzima umetambua Mjeda ni nani!!kumbe anko alimwibia mwanajeshi
Wafanyakazi wa bank ni hawa hawa tunaoishi nao mtaani ndugu yangu. Tunatafuta kwa pamoja, akigundua hilo la bank account, inakuwa neema kwakeUtapeli wa mabenki
Hapa ninachojiuliza ni kuwa .....Nina pesa nying kwenye account .....na hyo ni siri yangu...( kama kawaida wabongo kuficha siri kuhusu pesa zangu)
Je siku nikifariki ......benk inapeleka WAP ....fedha zanguuuu
Wanapigwa na wataendelea kupigwa......Makini sana mkuu kuna watu hadi leo hii bado wanapigwa kwa izo style.
Baada ya kukamatwa ikawajeMimi nina Duka la AGROVET.. nikiwa Dukani, alifika jamaa amevaa cap na barakoa akaulizia mbegu za alizeti. Baada ya kumjulisha bei aligoma kununua akidai kuwa bei aliyojulishwa ni ndogo.
Nilimshauri aende kwenye maduka mengine ajiridhishe bei, lakini alinijulisha kuwa atamsubiri aliyemuagiza maana yupo njiani kuelekea mjini. Mi niliendelea na mishe zangu kumbe jamaa alitoka nje akawa amekaa kwenye kiti kilichopo nje ya Duka.
Baada ya masaa kadhaa nilitoka nje ili nikapate chakula, nikamkuta jamaa amekaa nje.. alivyoniona akaniambia jamaa anakaribia kufika hivyo nimvumilie kidogo.
Nimerudi dukani kama dk 5 hivi nikashangaa jamaa ameingia dukani ameshika laptop mpya, akaniambia kuna jamaa anataka kumuuzia laptop anaomba aitest kwenye chaji.
Baada ya kuiweka kwenye chaji aliomba aende kutafuta flash ili aweke movie ajaribu kuitest laptop, aliondoka na baada ya dk kama 5 tena alirudi akiwa amepaniki kidogo akaiomba laptop akaitia kwenye begi akaondoka zake.
Baada ya dk 15 aliingia mshikaji mmoja akamuulizia , mi nikamjulisha kuwa yule ni mteja tu na ameondoka.. jamaa jasho likamtoka .. kumbe huyo mshikaji anauza laptop aliongea na huyo taperi akamdanganya kuwa anamiliki duka langu hivyo aletewe laptop hapo.
Baada ya kukagua laptop wakiwa nje ya duka alimwambia asubiri aiweke laptop ndani then waelekee benki akamchukulie pesa, walipofika kwa wakala wa benki jamaa akamwambia amsubiri dk 3 achukue simu amesahau dukani.. ndo hakurudi tena hadi leo.
Tuwe makini ndugu zangu.. bahati nzuri huyo jamaa alikamatwa..
Mamaye.Utapeli wa āmambo nimsaidie mwenzako nashida na elfu kumi, afu nimekumissā
Huu ni utapeli shituka
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Utapeli wa āmambo nimsaidie mwenzako nashida na elfu kumi, afu nimekumissā
Huu ni utapeli shituka
Lakini madalali mbona huwa wajanja sana...!?Pole sana Mr. Banks kwa kupigwa mara kwa mara
Ha ha jamaa alitumia akili kubwa.Mimi nina Duka la AGROVET.. nikiwa Dukani, alifika jamaa amevaa cap na barakoa akaulizia mbegu za alizeti. Baada ya kumjulisha bei aligoma kununua akidai kuwa bei aliyojulishwa ni ndogo.
Nilimshauri aende kwenye maduka mengine ajiridhishe bei, lakini alinijulisha kuwa atamsubiri aliyemuagiza maana yupo njiani kuelekea mjini. Mi niliendelea na mishe zangu kumbe jamaa alitoka nje akawa amekaa kwenye kiti kilichopo nje ya Duka.
Baada ya masaa kadhaa nilitoka nje ili nikapate chakula, nikamkuta jamaa amekaa nje.. alivyoniona akaniambia jamaa anakaribia kufika hivyo nimvumilie kidogo.
Nimerudi dukani kama dk 5 hivi nikashangaa jamaa ameingia dukani ameshika laptop mpya, akaniambia kuna jamaa anataka kumuuzia laptop anaomba aitest kwenye chaji.
Baada ya kuiweka kwenye chaji aliomba aende kutafuta flash ili aweke movie ajaribu kuitest laptop, aliondoka na baada ya dk kama 5 tena alirudi akiwa amepaniki kidogo akaiomba laptop akaitia kwenye begi akaondoka zake.
Baada ya dk 15 aliingia mshikaji mmoja akamuulizia , mi nikamjulisha kuwa yule ni mteja tu na ameondoka.. jamaa jasho likamtoka .. kumbe huyo mshikaji anauza laptop aliongea na huyo taperi akamdanganya kuwa anamiliki duka langu hivyo aletewe laptop hapo.
Baada ya kukagua laptop wakiwa nje ya duka alimwambia asubiri aiweke laptop ndani then waelekee benki akamchukulie pesa, walipofika kwa wakala wa benki jamaa akamwambia amsubiri dk 3 achukue simu amesahau dukani.. ndo hakurudi tena hadi leo.
Tuwe makini ndugu zangu.. bahati nzuri huyo jamaa alikamatwa..
Yupo dada ana page insta anajiita Veethriftstore anauza vitu used. Jina lake halisi ni Victoria. Nilitaka kununua washing machine used mwezi wa 6 akadai hela kabla nikarusha, delivery akasema baada ya siku 2. Mpaka leo siku 2 hazijafika na kufatilia refund ofisini kwake nikakuta mtu mwingine naye anadai refund amekata mpaka RB.Mimi nikaambiwa mzigo wangu haujafika. Baada ya kufatilia sana kwa simu, maana ofisini hawafungui tena hata geti, nikajibiwa nisimtishe. Bado namwona yupo insta analiza watu kule...ila dawa yake inachemka
Huyu Dada page yake Ina vitu vizuri mno..yaani mno.. Binafsi kuna wakati nilitaka kununua kitu kwake.. nikaona mlolongo wa mambo sana.. alipost bidhaa nikamwambia naweza kuja kulipia na kuondoka nayo kabisa?Akaniambia nitume hela then bidhaa nitafata kesho yake.. nikaona kuna jambo si bure.. sikuhangaika..
Baada ya muda kupita nikaona baadhi ya page Instagram wanamlalamikia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama muuzaji anaghairi kuuuza, yeye anatakiwa arudishe hela sio kutokomea nayoNamfaham ofis zake c ziko msasani ... huyu dada yeye vitu vingi anavyopost ..huwa anatumiwa picha .mfano hata ww ukiwa na kitu chako unakiuza ukimfuata dm mkaelewana bei ,atakipost kwenye page yake then anaongeza commission yake ..then mteja akikipenda atatakiwa alipie kwanz then ndo akifuate ......huu utaratibu wake wa kulipia kwanza ndo unao mcost coz sometimes inatokea ..mmliki wa kitu ana gairi kukiuza kitu chake ..na hapo ndo matatizo yanapoanziaga
Tatizo liko Mpesa na Tigo pesa wanakausha na mpunga wako b