Tahadhari ya utapeli mpya Dar kwa sasa

Utapeli mwingine upo kwa mawakala wa Nmb Crdb mnapo fanya malipo hakikisha kiasi kwa kupatiwa risit ya mashine ya Bank husika now watu wanaibiwa sana
Mmhh how?? Naomba ufafanue tafadhali tusije tukalizwa
 
Chaaaah
 
Kwenye issue ya cm used au za kununua mikononi nahisi box Ni la muhimu sana, ukinunua simu ya mtu mkononi muambie akupe na box lake.
Mnatakiwa mkauziane kwa makubaliano Polisi na au kwa mwanasheria au ofisi za serikali ya mtaa anapotoka.
Bado mtu hata kama una box anaweza kudai aliibiwa navyo pia mwisho wa siku ukang'ang'aniwa.
 
Utapeli mwingine upo kwa mawakala wa Nmb Crdb mnapo fanya malipo hakikisha kiasi kwa kupatiwa risit ya mashine ya Bank husika now watu wanaibiwa sana
Kuna siku nilitaka kutumiwa hela kupitia hawa mawakala. Aliyekuwa anataka kutuma akaenda kwa wakala wa NMB akaambiwa eti mashine yake huwa haitoi risiti. Mtumaji akashtuka na kughairi badala yake akaenda bank kutuma.

Baadae akaja kuniambia huo msala, nilishukuru sana kwa maamuzi ya kutomkubalia Wakala.
 
Utapeli wa mabenki

Hapa ninachojiuliza ni kuwa .....Nina pesa nying kwenye account .....na hyo ni siri yangu...( kama kawaida wabongo kuficha siri kuhusu pesa zangu)
Je siku nikifariki ......benk inapeleka WAP ....fedha zanguuuu
Wafanyakazi wa bank ni hawa hawa tunaoishi nao mtaani ndugu yangu. Tunatafuta kwa pamoja, akigundua hilo la bank account, inakuwa neema kwake
 
Baada ya kukamatwa ikawaje
 
Ha ha jamaa alitumia akili kubwa.
 

Kumbe yule dada nitapeli pia, mbona kama ni tapeli kwanini asichukuliwe hatua maana naona bado anaendelea kuweka matangazo katika page yake?
 

Shoga ungelizwa, naona kuna member kasema alitapeliwa na huyo mdada. Huwa anapost vitu vizuri kweli na mimi kuna kitu nilitaka kuagiza kwake akadai nitumie hela kwanza?? Nikasema hapana wengine hadi mzigo unakufikia ndio unalipia bila tatizo.
 
Kama muuzaji anaghairi kuuuza, yeye anatakiwa arudishe hela sio kutokomea nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…