overflow,see what is happening in UgandaHivi kuongezeka kwa maji kwenye water bodies kunaweza kusababisha madhala gani kwa binadamu especially watumiaji na wenye vyombo vya usafiri majini?
Sawa mkuuoverflow,see what is happening in Uganda
Maji yatajaa mpa yatafika shinuanga kahama singida tabora na dodoma kwa wiki moja tu.Hivi tukisema tufunge mto Nile..,maji yatajaa sana au