Kwani yaliyoandikwa ni ubongo? Hatukusali kwa siku tatu? Dar ilikuwa na siku tatu za kusheherekea mwisho wa Corona, haha kuwa na lockdown down sasa la uwongo hapo ni Lipi?
However, the opposition politicians say they believe there have been more than 400 deaths in Dar es Salaam and between 16,000 and 20,000 cases nationwide, according to their own ongoing research.
Za kuambiwa changanya na zakoHiyo habari imepikwa sana na zito kwa Lengo la kuwafurahisha Mabeberu
Unategemea nini kuhusu corona wakati viongozi wakubwa wanajitapa kwa kutovaa barakoa kisa wameishinda corona. Huu ugonjwa tunauchukulia kisiasa lakini virus havina siasa. Tumekuwa watu wa kulazimisha kila kitu na kutofuata utaalamu ni hatari sana siku hizi.Katika hali isiyokuwa ya kawaida maeneo mengi ya jiji la Dar wakazi wake wameacha au kupunguza kuwa na tahadhari na ugonjwa huu .... Watu hawavai barakoa watu hawànawi kama ilivyokuwa siku chache gonjwa likipopamba moto
Mwanzoni ilikuwa tahadhari ipo kila mahala na hata ndani ya mabasi ya daladala abiria walikuwa wanalazimishwa kuingia na barakoa na baadhi ya daladala waalikuwa wanatoa sanitizer.
TAHADHARI Serikali iangalie tena uwezekano wa kufanya ukaguzi ili hata kama gonjwa limepungua pasitokee mlipuko