johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo sasa twakubali kuna shida sio.Ndio maana nimeamua kutembea tu sitaki shida na mtu.
Kama tunakiri kuna shida,ni muda sasa waimba mapambio wote kuingia kazini kwa umoja wetu kuwaelimisha watu kwa manufaa yetu na wote.Mwendo kasi na daladala ukiingia kwa ule mbanano unajikuta una tatizo la upumuaji njia nzima ila ukitelemka tatizo unaona limeisha automatic unapumua kawaida
Hahahaaaa......!Wadudu wa corona hawana nafasi sehemu yenye joto kali lile fukuto la joto la kubanana mwendokasi na daladala kidudu cha corona lazima kinyooshe mikono juu hilo joto ni zaidi ya kujifukiza
Poleni bwashee kwa mitambo ya gongo iliyokamatwa huko Rombo!Askofu Rashidi Gwajima akiwa bungeni amesema mswala ya social distance ni upuuzi na hayana maana,
Waziri wa afya alionekana kupendezwa na kauli hii ya huyu mtafuna kondoo kwa kupiga makofi ikiwa inamaanisha ndiyo msimamo wa serikali.
Mara nyingi unaefikiri katika mazingira fulani kuwa hana akili sii kweli,ila tu wakati mwingine ni akili za tumboni zinatumika.a.k.a ugali kwani mwingine anasema kwavile mkono unaendakinywani na maisha yanajiendea nisumbuke nini,ila madhara yanayowagusa wote,Yana warejesha kwenye ufahamu wa asili.Leo umejitahidi kuongea UKWELI
Always bwashee!Leo umejitahidi kuongea UKWELI
Gari!Corona ipi tena mlamu!
Gari!
Hahahaaaa..... Mwenzio anazungumzia ukweli bwashee!Mara nyingi unaefikiri katika mazingira fulani kuwa hana akili sii kweli,ila tu wakati mwingine ni akili za tumboni zinatumika.a.k.a ugali kwani mwingine anasema kwavile mkono unaendakinywani na maisha yanajiendea nisumbuke nini,ila madhara yanayowagusa wote,Yana warejesha kwenye ufahamu wa asili.