Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

Wadudu wa corona hawana nafasi sehemu yenye joto kali lile fukuto la joto la kubanana mwendokasi na daladala kidudu cha corona lazima kinyooshe mikono juu hilo joto ni zaidi ya kujifukiza
Kenge wewe kàbisa
 
Anasema kukataa social distancing ni jambo sahihi ambalo litatupeleka sehemu sahihi!😆😆😆
Itakuwa sehemu sahihi kama tuna lengo la kutangulia kuzimu
20210128_101936.jpg
 
Akili ya kuambiwa...changanya na ya kwako weye.... pia soma between lines!
Jukumu la kujikinga na majanga ya kiafya ni la kwako kwanza. Wewe mwenyewe ndiye utakayejiponya ama kujiangamiza.
Kalagha baho!
Serikali makini ina WAJIBU wa kulinda raia wake.
 
Back
Top Bottom