Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

Wewe ni nani hata unataka uende kinyume na wabunge wako wa CCM?
0210210165643.jpg
 
Social distancing ukiwa unatumia public transport ni ngumu.
 
Magufuli aongee kwa style ipi hadi muelewe. Amesema million times Tanzania haina corona ila iliyopo ni ndogo
Akili ya kuambiwa...changanya na ya kwako weye.... pia soma between lines!
Jukumu la kujikinga na majanga ya kiafya ni la kwako kwanza. Wewe mwenyewe ndiye utakayejiponya ama kujiangamiza.
Kalagha baho!
 
Si tulikubalina corona haipo Tanzania jamani au nasema uongo ndugu zangu
 
Kwani unataka serikali ije ipange safu za watu kwenye madaladala?

Serikali haijakukataza kununua gari lako mwenyewe!
 
Back
Top Bottom