Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

Wadudu wa corona hawana nafasi sehemu yenye joto kali lile fukuto la joto la kubanana mwendokasi na daladala kidudu cha corona lazima kinyooshe mikono juu hilo joto ni zaidi ya kujifukiza
Kenge wewe kàbisa
 
Akili ya kuambiwa...changanya na ya kwako weye.... pia soma between lines!
Jukumu la kujikinga na majanga ya kiafya ni la kwako kwanza. Wewe mwenyewe ndiye utakayejiponya ama kujiangamiza.
Kalagha baho!
Serikali makini ina WAJIBU wa kulinda raia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…