Mkuu even just to mention the few ni shida? Nini maana ya kuleta mada hapa sasa mkuu? Hivi ulishawahi kuona mtu anapractice kitu ambacho hajui kitamlead wapi?Ukianza kupractice ndio utaona faida zake zipo nyingi sana
Faida mojawapo ya meditation ni kutengeneza new awareness na kufocus kwenye mambo ya msingi na kuthink outside the box.... pia meditation inasaidia kuonda chronic stressMkuu even just to mention the few ni shida? Nini maana ya kuleta mada hapa sasa mkuu? Hivi ulishawahi kuona mtu anapractice kitu ambacho hajui kitamlead wapi?
Hii una meditate vipi?Meditate on the word of God only,huko kwingine naona tunapotezana tu...
Ngoja tumsubiri!!!Atakwambia kanisani
Nisaidie mkuu, nina siku nyingi sana najaribu nashindwa pamoja na astra projectionYah! Absolutely mkuu ugumu mwanzoni ni kukaa 20min without doing anything just concentrate on!! Lakin uki master just simple
Faida za kufanya hiyo meditation ni nini hasa!?Okay anza kufanya utaona matokeo yake.
Thanks for sharingMeditation is a gmy for brain
Faida zake;
1.Inakupa utulivu wa akili,mwili na nafsi.
2.Inasaidia kupunguza mawazo.
3.Inasaidia ku discover hidden talents zilizo ndani yako
4.Inakufanya ufanye mambo yako kwa ufasaha maana utakua na uwezo wa kuconcentrate kwenye jambo moja..... nk
Haya mambo hayataki uwe closed minded, yanataka uwe open minded kuyaelewa...Watu walioshika dini sana huwa ni wajinga akili zao huwa zimefungwa na huwa wanajua robo tu kuhusu kila kitu mengi wanafichwa kwa sababu wanaona wakiwafumbua macho watawapoteza kwa hiyo huwa wanatishwa sana na kuaminishwa vitu vya kuogopesha ili waendelee kutawaliwa vizuri. Huwa wanapofushwa akili na kudanganywa kuwa wale wengine ndo vipofu kumbe wao pia ni vipofu tu hawajui vitu vingi na kila kitu. Ukibishana nao huwezi kushinda kwa hiyo ni wa kupuuza tu na kuacha hivyohivyo.
Kwa maana hiyo kuwa wewe nakuacha kama ulivyo.
NiceHabarini Wanajf wenzangu, Ihope mko good.
Kwa mara ya kwanza nafanya meditation baada ya kufundishwa na jamaa mmoja hivi niliona haina maana, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda niliona mabadiliko fulani ndani ya akili yangu.
Nikawa na uwezo wa kukuntrol akili na emotions zangu jambo ambalo limenifanya niweze kutengeneza new awareness na kufocus kwenye mambo ya msingi na kuthink outside the box wanaofanya meditation nadhani wananielewa.
So now Tahajudi nimekuwa nikipractice at any place and anytime, nikitaka hi kitu ni nzuri sana ukiimaster vizuri.
Swali langu je? Wewe huwa unafanya Tahajudi, kama jibu ni hapana anza sasa.
Nawasilisha, asanteni sana.