Tahajudi (meditation) imenisadia sana

Tahajudi (meditation) imenisadia sana

Hizo meditations zenu ni kinyume na prayers wanazofanya wanaomwabudu Mungu, zenu mnakuwa mnajifungamanisha na evil spirits, whatever the feelings or success mnazopata ni zile za kutoka upande huo wa devil......kuwa makini na kuigaiga mambo.​
 
Sio kweli hata kusali pia ni form mojawapo ya meditation
 
Yani hapo ulipo kaa kama unapiga magot then unaweka kitu chochote mbele me naekaga mshumaa alaf nazima taa then nauangalia mshumaa na mawazo yAngu yote yanakua hapo.
Unafumba macho?
 
Unafanya nini kabla ya kuanza meditation?

*Jaribu kusoma ukurasa wa kitabu cha kutia moyo.

*Unavaa nini? Vaa kitu tofauti ni vizuri ukivaa nguo zisizo na materials ya kubana sanaa.

*Unafanyia meditation wapi? Sogeza mto wako mahali tofauti, labda chumba tofauti. Jaribu kufanya meditation nje...usijali kuhusu kelele; liwe liwalo!Jisikilize

*Jaribu Kufanya meditation kwa vipindi tofauti vya wakati. Gawanya meditation ndefu katika vipindi vifupi vilivyojilimbikizia zaidi. Pata mapumziko mafupi….

*Osha uso wako na maji baridi. Usiangalie simu yako kwa wakati huu..

*Keti chini kwa hisia ya kusudi na malengo.

*Kukunja miguu siyo lazima.

*Usilale chali * ... Utapoteza muda mwingi kusafiri (infact ni kuzurura) kwenye dimensions za chini...

*Kila unapofanya meditation, "hakikisha ncha ya pua yako ime-point mbele yako na siyo juu wala chini.. "

*Pua yako kuwa inaanzia kwenye third eye, na inasafirisha energy iliyotoka kwenye crown chakra... kwa kupoint mbele.... siyo urembo na siyo bahati mbaya.

*Hivyo meditate ukinyoosha mgongo na pua yako ikilenga mbele... Usiinamishe kichwa chini.

ALL THE BEST.
 
Interesting
 
Hizo meditations zenu ni kinyume na prayers wanazofanya wanaomwabudu Mungu, zenu mnakuwa mnajifungamanisha na evil spirits, whatever the feelings or success mnazopata ni zile za kutoka upande huo wa devil......kuwa makini na kuigaiga mambo.​
Haujui unachokizungumza hata huyo Mungu haumjui vizuri naona. Kuna nguvu mbili hasi na chanya- negative na positive, kuna Mungu na Shetani, huko kwenye ulimwengu wa roho kuna Shetani na kuna Mungu kwa hiyo kazi kwako kuchagua nguvu gani uivute kwako, we kama ni negative utavutia nguvu negative na kama ni positive utavutia nguvu positive we kama ni mtu wa Mungu ukiingia meditation utakutana na Mungu na we kama ni mtu wa Shetani utakutana na Shetani, kwa hiyo acha kuwadanganya watu Eti utapata evil spirit, kama ukipata evil Spirit jua hizo ndo uliziita hizo ndo uliziattract kwa sababu ulifanana nazo zikaona huyu ni mtu wetu.
 
FACT
 
Kawadanganye vipofu wenzio.
 
Kawadanganye vipofu wenzio.
Watu walioshika dini sana huwa ni wajinga akili zao huwa zimefungwa na huwa wanajua robo tu kuhusu kila kitu mengi wanafichwa kwa sababu wanaona wakiwafumbua macho watawapoteza kwa hiyo huwa wanatishwa sana na kuaminishwa vitu vya kuogopesha ili waendelee kutawaliwa vizuri. Huwa wanapofushwa akili na kudanganywa kuwa wale wengine ndo vipofu kumbe wao pia ni vipofu tu hawajui vitu vingi na kila kitu. Ukibishana nao huwezi kushinda kwa hiyo ni wa kupuuza tu na kuacha hivyohivyo.
Kwa maana hiyo kuwa wewe nakuacha kama ulivyo.
 
Watu walioshika dini huwa ni wajinga sana akili zao huwa zimefungwa na huwa wanajua robo tu kuhusu kila kitu mengi wanafichwa kwa sababu wanaona wakiwafumbua macho watawapoteza kwa hiyo huwa wanatishwa sana na kuaminishwa vitu vya kuogopesha ili waendelee kutawaliwa vizuri. Huwa wanapofushwa akili na kudanganywa kuwa wale wengine ndo vipofu kumbe wao pia ni vipofu tu hawajui vitu vingi na kila kitu. Ukibishana nao huwezi kushinda kwa hiyo ni wa kupuuza tu na kuacha hivyohivyo.
Kwa maana hiyo kuwa wewe nakuacha kama ulivyo.
Ahaa nyie akili zilizofunguka ndo mnajiita illuminanti, siyo? wafuasi wa joka kuu.
 
Meditate on the word of God only,huko kwingine naona tunapotezana tu...
 
Back
Top Bottom