Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Unawezaje kukaa dakika 20 pasipo kufikiria chochote nipe hints.Hapana.. kila kitu kinawezekana mkuu
Kuna muda najaribu lakini nashindwa unajikuta tu ushafikiria kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawezaje kukaa dakika 20 pasipo kufikiria chochote nipe hints.Hapana.. kila kitu kinawezekana mkuu
Wewe mzoefu na ulie ona matokeo naomba tuelekeze jinsi ya kifanyaHabarini Wanajf wenzangu, Ihope mko good.
Kwa mara ya kwanza nafanya meditation baada ya kufundishwa na jamaa mmoja hivi niliona haina maana, lakini kadri siku zilivyozidi kwenda niliona mabadiliko fulani ndani ya akili yangu.
Nikawa na uwezo wa kukuntrol akili na emotions zangu jambo ambalo limenifanya niweze kutengeneza new awareness na kufocus kwenye mambo ya msingi na kuthink outside the box wanaofanya meditation nadhani wananielewa.
So now Tahajudi nimekuwa nikipractice at any place and anytime, nikitaka hi kitu ni nzuri sana ukiimaster vizuri.
Swali langu je? Wewe huwa unafanya Tahajudi, kama jibu ni hapana anza sasa.
Nawasilisha, asanteni sana.
Umeitikia sasa kwani wewe ni tahajudi, meditation kusema umeitwa.. We mama d mbona una vituko!? 🤣Abeeee😎
Huku uswahilini makelele, asubuhi mpaka usiku wa manane huo utulivu unautoa wapiHats kukaa sehemu ya utulivu na kuanza kutafakar ni njia mojawapo
Unawezaje kukaa dakika 20 pasipo kufikiria chochote nipe hints.
Kuna muda najaribu lakini nashindwa unajikuta tu ushafikiria kitu
Meditation is a gmy for brainNipe faida zake 10 za kufanya meditation
Sio ya kishua wala niniBaba mwenye nyumba ananidai kodi, fundi kanitumia msg nisikae mbali na simu kuna kazi anaisikilizia ikitiki atanishtua tukafanye, mfukoni Sina kitu asubuhi Sijui Chai na nini.. Shule zimefunguliwa mtoto hajaenda wiki nzima sababu sijamnunulia sare wala madaftari, bimkubwa anaumwa mchango unahitajika
Kwa mbali wimbo wa ottu wanaume tumeumbwa mateso unarun kwenye kichwa.
Naanzaje kumeditate.. Nina concentrate vipi hapo.
Mambo mengine ya wa kishua hayo.
Yes asante kwa kujazia nyamaLengo la meditation siyo kuzuia mawazo..lengo la meditation ni simply being aware with your thoughts,emotions and sensations without judging either they are good or bad. Let them come,and let them go.. simply be aware of them. Baada ya muda utaanza kuona distance kati ya wazo moja mpaka jingine inakuwa ndefu...
Mikao migumu sana ile.Changamoto kuanza wengi tunatamani ila utulivu unakua mgumu pamoja ni mikao yao, hapa labda kuendelea kukomaa tu
I will give it a try and see mkuuLengo la meditation siyo kuzuia mawazo..lengo la meditation ni simply being aware with your thoughts,emotions and sensations without judging either they are good or bad. Let them come,and let them go.. simply be aware of them. Baada ya muda utaanza kuona distance kati ya wazo moja mpaka jingine inakuwa ndefu...
sawa.!Sio kweli
Najua umenielewa🤣Umeitikia sasa kwani wewe ni tahajudi, meditation kusema umeitwa.. We mama d mbona una vituko!? 🤣