TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia


Nano "tahajudi" linatokana na neno Kiarabu "tahajjud" na sika ulivyoelezea wewe kuwa "linatokana na neno la Kiingereza".

Tahajjud kwa Waislaam ni sunna (voluntary) iliyosisitizwa. Google neno Tahajjud utajionea namaanisha nini. Na Waislaam tunaielewa hiyo kwa zaidi ya miaka 1400 sasa na wengi wetu tunaisali swalat Tahajjud. Imesisitizwa kiasi cha maulamaaa kufundisha kuwa Muislaam anatakiwa aisali japo mara moja katika maisha yake.

Inawezekana kabisa kuwa kwa Kingereza inamaanishwa "meditation" akini si kweli kuwa neno hilo "tahajudi" limetokana na Kiingereza kama ulivyoandika.
 
Hakuna jamii ambayo hajawahi fanya tahajudi kwa kufahamu au kwa kutofahamu dini yakale zaidi ni hindu na hindu tahajudi ni kama chakula
 
Hakuna jamii ambayo hajawahi fanya tahajudi kwa kufahamu au kwa kutofahamu dini yakale zaidi ni hindu na hindu tahajudi ni kama chakula
Mimi naongelea "neno" lilivyobadilishwa asili yake, nisome vizuri usikurupuke.
 
Mimi naongelea "neno" lilivyobadilishwa asili yake, nisome vizuri usikurupuke.
Kwanza utambue meditation (tahajudi) ipo kwa kila jamii na maana yake ni ile ile sema tu zipo tahajudi za aina nyingi kwa madhumuni tofauti , zpo kwa ajili ya akili (kimwil )na zipo kwa ajili ya roho (kiroho) jamii zote zinafanya tangu kale kabsa kwakujua au kwa kutokujua ni jambo la nature kabsa ,dini zote zimeiba kutoka Kwenye akili.
 
Mwandishi amekosea ila kimantiki unataka kumcorrect kupitia dini yako kuhusu kitendo muhimu kwa kila binadamu asiye na din na mwenye dini , tatizo lako ni apo tu ,ulipo ingiza chanzo cha dini zenyewe uje ukicorrect kupitia din. Tahajudi ndo mama wa dini zote japo watoto wamekuwa wakaidi wakafuata mambo yao zaidi.
 
Wewe unachobishana nini? Kanisome tena unielewe. Wewe utaijuwa Tahajud zaidi ya Waislam wenye neno lao na wenye Sala ya Tahajjud?

Unanshangaza.
 
Basi asiseme kuwa neno Tahajudi linatokana na neno "meditation".

Narudia, Tahajjud ni neno la Kiarabu tena lenye "connotation" ya Kiislam. Kwa kuwa kwa miaka zaidi ya 1,400 sasa Waislam tulifundishe kuswali salat YTahajjud na Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, na wengi wetu tunaiswali hadi hii leo. Na jina lake hiyo ni Saat Tahajjud.
 
Kwa kukufahamisha tu meditation sio waislam tu wanasali ata wapangani wanaiyo sala kabla ya dini zote kuanzishwa .
 
Kingereza na kiarabu kipi ni lugha ya kale zaid kumbe ndo swali lako lilipo.
 
Sijauliza swali, kanisome post yangu. Nilikuwa naweka sawa ilipotolewa wrong information.
Sio kwamba sikuelewi mimi nmeenda kwenye kiini kabsa cha lengo lako ndo maana nmekuanzia mbal
 
Sawa, lakini Tahajudi (meditation) ni nature ya mwanadamu, hata kulala usingizi pia ile ni meditation. Tatizo mnapobishania wewe upo kidini zaidi na mwenzio yupo ki Logic zaidi hapo ndipo mnapobishania.
 
Kwa kukufahamisha tu meditation sio waislam tu wanasali ata wapangani wanaiyo sala kabla ya dini zote kuanzishwa .
Kijana unaelewa kusoma? Mimi siongeleai "meditation"naongelea Tahajjud.

Wewe baki na "mefitation" yako, wacha mimi nibaki na Tahajjud yangu. Tatizo lako nini?
 
Sawa, lakini Tahajudi (meditation) ni nature ya mwanadamu, hata kulala usingizi pia ile ni meditation. Tatizo mnapobishania wewe upo kidini zaidi na mwenzio yupo ki Logic zaidi hapo ndipo mnapobishania.
Wewe baki na "meditation" yako, sisi Waislaam tuna Salat Tahajjud, na ndipo lilipopatikana neno "Tahajudi.
 
Hauwezi weka kitu sawa kwa kubase upande mmoja ili uweke kitu chochote sawa lazima uwe kwenye neutral state.
Wewe base upendapo nami na base nipendavyo. Unataka mimi niwe kama wewe? Mimi ni Muislam na Uislam umekamilika hauhiytaji msaada wa wamufundisho ya dini yeyote ile ya kuabudu binaadam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…