Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa

Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa, wananchi waeleza kilichotokea.

 
Sasa hela mlipokea ya nini?kuwatetea wasukuma ni ngumu Sana
Unalipwa fidia unapokea .baadae unasema ilikuwa ndogo.si mlisaini kuondoka na hela mkapokea?
 
Back
Top Bottom