GE2025 Tahliso Tunamuunga mkono Rais Samia haimaanishi kuwa Taasisi inaiunga Mkono CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Naibu Kamishna wa Katiba, Sheria na Utawala Bora wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tahliso Bw. Aron Mzelela Seni amewaambia waandishi wa habari leo Jumatatu Julai 28, 2025 kuwa Jumuiya hiyo inamuunga mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Tanzania katika shughuli za maendeleo.

“Kuna chama cha siasa na kuna Serikali, kumuunga Mkono Dkt. Samia Suluhu Hassan haimaanishi kuwa Taasisi inaiunga Mkono CCM. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mtanzania, ni rais wa nchi, maana yake ni rais wa wote na yeyote anayefanya vizuri hata akiwa nje ya CCM tutamuunga mkono na tukumbuke Dkt. Samia ni mlezi wetu na hata Hayati Dkt. John Magufuli naye alikuwa mlezi wetu,” Amesema Mzelela.

T

Tutako huto tunatupotezea muda wetu
 
Ufinyu wa fursa ni changamoto kubwa sana Tanzania kijana kama huyu anafanya hivyo akijua kabisa anaweza kumbukwa kwenye uteuzi wa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya au hata ukurugenzi
 
Back
Top Bottom