TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

Nakubaliana na mchango wako mia kwa mia kuwa kauli za Jiwe kuhusu corona hazikuwatendea haki wananchi hasa pale aliposema kuwa corona imetoweka Tanzania kwa njia ya maombi!! Kwa scientist kama yeye ilikuwa ya kupotosha.

Kitu ninachodhani ni busara kufanya ni kutokuwa na haraka na hizi chanjo kwani hata huko ughaibuni bado wanasayansi hawana uhakika wa efficacy ya hizi chanjo!!! Hasa hasa hizi chanjo mpya ambazo zinatumia vimelea vya kuumba tofauti na vaccines ambazo zinatumia mtindo wa zamani ambao hautumii vimelea vya kuumba!!! Haijulikani athari zake kwa binadamu kwani ndio mara ya kwanza kutumika!!! Kuna uwezekano kabisa kuwa kwavile hizi vaccines mpya zinahusisha DNA, upo uwezekano vaccines hizo zikaleta madhara kwa binadamu tusiyoyajua!! Hivyo twende taratibu na tuendelee kufanya kama tunavyoshauriwa na wataalam wetu kujifukiza, kula ZINC na vitamin C ; kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko ya aina zote; mpaka hapo tutakapojiridhisha njia salama kwa wananchi kupambana na hili gonjwa.
Tusiingize mambo ya siasa katika vita hii dhidi ya hii balaa ama sivyo tutakwisha.

Nashukuru kwa hiyo link ya Bill Gates kupata chanjo.
Mkuu hilo la tahadhari hata mimi sikatai kabisa. Hata Ulaya na USA baadhi ya wananchi wa huko wana wasiwasi na wengine wamesema hawatakubali kuchanjwa. Ila sasa huyu rais wetu kauli aliyotoa siyo kauli inayotakiwa kutolewa na rais hasa rais mwenyewe akiwa ni ''msomi'' wa kada ya sayansi kama ulivyosema. Tena anatoa tuhuma za hali ya juu kuwa ''hawatupendi''. Angeweza kusema tuchukuwe tahadhari bila kuzusha mambo mengine yasiyo na msingi. BTW yeye ni rais na wizara ya afya inaongozwa na mteule wake. Ilikuwa ni kiasi cha kufanya mkutano na wataalam wa wizara na kuwapa maelekezo bila kupayuka maneno kama mlevi wa chibuku kwenye mkutano wa hadhara. Tena kwa Tanzania population bado wengi ni vijana hivyo hakuna haja ya ku-rush sana kwenye chanjo. Ila bado kuna watu kama wale walio katika makundi hatarishi hawa hawana cha kupoteza ni bora waachiwe kuchagua kama wanataka chanjo.
 
Ahsante kwa busara zako.
 
Mimi tatizo langu siyo korona, ni argument ambayo haitoi mbadala. All human knowledge is approximate. Mambo mengi ni trial and err - kwa sababu binadamu hana absolute knowledge. Kwa maana hiyo, kuna error zinatokea, lakini hiyo haina maana kwamba all human endevours are useless because of possible errors.
Unajisikiaje hizo human errors zinapopangwa kutokea kwa waafrika? Unajisikiaje baadhi ya mambo kuitwa ni errors wakati ni mambo ya kupanga yatokee? Ulimsikia Mkurugenzi mkuu wa WHO akifoka kuhusu Majaribio kwa waafrika kama mfaransa mmoja alivyotaka iwe?

Btw. Sasa hivi timu ya WHO iko Wuhan kutafuta chanzo cha Corona, je, uliwahi kusikia kitu kama hicho kuja Africa kutafuta chanzo cha HIV?
 
Tunamuunga Magufuli ktk vita hii ya korona kwa asilimia 100, ila kuna baadhi ya taasisi ndio kama vile zinataka kuchonganisha wananchi na serikali, wanaonyesha kama vile serikali haiwajali wananchi wake!!
hizi taasisi zikemewe mara moja na zipewe onyo kali vinginevyo vita hii itavurugwa na wanachi watavurugika
 
Unajisikiaje hizo human errors zinapopangwa kutokea kwa waafrika? Unajisikiaje baadhi ya mambo kuitwa ni errors wakati ni mambo ya kupanga yatokee? Ulimsikia Mkurugenzi mkuu wa WHO akifoka kuhusu Majaribio kwa waafrika kama mfaransa mmoja alivyotaka iwe?

Btw. Sasa hivi timu ya WHO iko Wuhan kutafuta chanzo cha Corona, je, uliwahi kusikia kitu kama hicho kuja Africa kutafuta chanzo cha HIV?
Kama una ushahidi kama kuna zilizopangwa 'kutokea kwa Waafrika' hizo au huo ushahidi ndio ulete tuujadili. Kauli 'zoazoa' hazitusaidii na hazitufikishi popote.
 
Hyo chanjo wangetumia wao kwanza WAPONE.
kwani lazma tupeana hizo chanjo si watuache TUFE.
Kwanini tunalazimishana hizo chanjo kuna SIRI GANI?.
mpe anayetaka asiyetaka ACHANA NAE
shida ipo wapi
Heee hii dunia raha sana wenzenu wamebuni mbinu ya kupata pesa na makampuni hayo hayo yanayotengeneza chanjo ndo watalamu pia wa kutengeneza virus.
 
Ukitaka ng'ombe wako atoe maziwa mengi shariti apewe lishe bora. Wazungu wanataka korona isituathiri sana ili tuendelee kuwatumikia tuwaunge mkono WHO kwenye vita dhidi ya korona
 
Inaonekana watu wanataka hizo chanjo zije ili wamkomoe Magufuli kuonesha kuwa hana ubavu wa kushindana na Wazungu.
Wazungu kweli wakiamua kumeweke vikwazo hatoboi.
Ila ndio hivyo hawana interest.
Na si hulka yao ku invest sehem ambazo hawafaidiki.
 
Hyo chanjo wangetumia wao kwanza WAPONE.
kwani lazma tupeana hizo chanjo si watuache TUFE.
Kwanini tunalazimishana hizo chanjo kuna SIRI GANI?.
mpe anayetaka asiyetaka ACHANA NAE
shida ipo wapi
Nani amekwambia hawaitumii. Wameshaanza matumizi mapema. Kinacho wasumbua sasa ni kwamba kasi ya usaambaji wa ugonjwa ni kubwa kuliko kasi ya ugawaji chanjo.
Halaf pili hawajamlazimisha mtu kupata chanjo.
Ukitaka chukua ukikataa hawakulazimishi.
 
Sina shida na chanjo yao.
Wachanjane wenyewe.
Nani amekwambia hawaitumii. Wameshaanza matumizi mapema. Kinacho wasumbua sasa ni kwamba kasi ya usaambaji wa ugonjwa ni kubwa kuliko kasi ya ugawaji chanjo.
Halaf pili hawajamlazimisha mtu kupata chanjo.
Ukitaka chukua ukikataa hawakulazimishi.
 
Hii taasisi itanyimwa misaada si muda mrefu na huyu msemaji wazungu watakula kichwa chake soon.

Anadunisha biashara ya mzungu
Wafanye biashara kwingine kama wanaweza wafanye biashara halali na kwa adabu na sisi, vinginevyo,'tutawala vichwa' wao!
 
Rais wetu ana sema uchumi wetu huwezi ukaulinganisha na kitu chochote hivyo hawezi akisimamisha ujenzi wa SGR au flyover au Mwalim hydropower eti kisa corona.Sasa kwa akili yake sijui kama huo uchumi upo kwa ajili ya watu na bila watu huo uchumi is nothing
hakika wewe wasema.
 
Kama una ushahidi kama kuna zilizopangwa 'kutokea kwa Waafrika' hizo au huo ushahidi ndio ulete tuujadili. Kauli 'zoazoa' hazitusaidii na hazitufikishi popote.
You seem to like shit ideas, read the following;

Nigeria Trovafloxacin lawsuit​

Main article: Abdullahi v. Pfizer, Inc.
In 1996, an outbreak of measles, cholera, and bacterial meningitis occurred in Nigeria. Pfizer representatives and personnel from a contract research organization (CRO) traveled to Kano to set up a clinical trial and administer an experimental antibiotic, trovafloxacin, to approximately 200 children. Local Kano officials reported that more than 50 children died in the experiment, while many others developed mental and physical deformities. The nature and frequency of both fatalities and other adverse outcomes were similar to those historically found among pediatric patients treated for meningitis in sub-Saharan Africa. In 2001, families of the children, as well as the governments of Kano and Nigeria, filed lawsuits regarding the treatment. According to the news program Democracy Now!, "[r]esearchers did not obtain signed consent forms, and medical personnel said Pfizer did not tell parents their children were getting the experimental drug." The lawsuits also accuse Pfizer of using the outbreak to perform unapproved human testing, as well as allegedly under-dosing a control group being treated with traditional antibiotics in order to skew the results of the trial in favor of Trovan. While the specific facts of the case remain in dispute, both Nigerian medical personnel and at least one Pfizer physician have stated that the trial was conducted without regulatory approval.

Source: Pfizer - Wikipedia
 
How is it related to Covid-19 vaccines developed in different countries?
 
Hoja nzito sana, nchi nyingi za Africa zitaingizwa kwenye madeni mazito sana. Baadaye yatakuja masharti ili wasamehewe madeni. Na hapo ndipo ngozi nyeupe inavyoendelea kuitawala nyeusi mpaka mwisho wa dunia

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
How is it related to Covid-19 vaccines developed in different countries?
Ukiambiwa uwe mwangalifu unaona umechelewa. Leo SA wame-drop vaccine ya astrazeneca. waliokwisha chanjwa ......... Kwentu ktk nchi haijawa pandemic. Anayetaka siasa apige tu!
 
Back
Top Bottom