TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

Fursa kuwa mkosoaji Hadi uwakere wasiojulikana bring back bring back kisha unga juhudi fika bei badili santuri imba kwaya hapo ushapata mtaji kafanye biashara.
Hata mdude akiunga tu juhudi na kuisujudia Sanamu kesho atakuwa nje usiku wa manane na teuzi juu Kama nusrat.
Falsafa za kikomunisti at work wafanye wawe masikini ili wakuabudu KILA aisujudiaye Sanamu na kukubali kupigwa chapa 666 ataepushwa kuisoma namba.
Wazee wa escrow wanapenda wenyewe kukaa ndani ukisujudia Sanamu itakuweka huru na kula mema ya nchi.
Ukinisijudia tu na kuanguka miguuni pangu nitakupa miliki yote ya dunia.
 
tuseme watanzania tupo million 70. Chanjo moja iwe usd 11.
so total cost itakua 70,000,000 x 11 =770,000,000usd ambayo ni sawa na tshs 1,925,000,000,000 (trillion 1.925 kwa rate ya 2500)
sasa hiyo 104 trillion ni pamoja na derivery au? saa zingine uongo aufai.
Bora uyaambie hayo ma ccm maana hata hesabu hayajui! Hata hesabu hayajui eti trillion 100 na zaidi! Actually Bei ya chanjo haizidi $5, hii mijitu haikuulizwa swali? Na nyiye mnao msupport Mjinga huyo na hesabu zake za uongo hamjui math?? Au ndo wale wale ass kissers! Hii awamu imefanya watu wawe ma chawa na akili za kudumaa, kazi kusifia ujinga tuu.
 
Mleta hoja, acha mipasho yako!
tangu lini virusi vikawa na dawa?
kabla ya kuandika uwe unasoma au kuuliza!
 
Eti wangeleta TIBA badala ya chanjo msipende kudiscus mambo ya kitaalam ki siasa zaidi VIRUS vinakufa kwa dawa gani.?
Kama aliyekubali kuchanjwa hata pata tena corona basi haina haja ya kumlazimisha ambaye hataki kwani hatawaambukiza watu wako uliowachanja.



MAGUFULI4LIFE.
 
Aidha, Ngetti ambaye ni mwandishi wa habari nchini amesema Watanzania wasikimbilie tu athari za kiafya kwa chanjo hiyo na badala yake waangalie athari za kiuchumi.
Afya / Uhai wa mtu una gharama kiasi gani ?
"Ikumbukwe kwamba, kwa mujibu wa WHO ili nchi za ki-Afrika kupata chanjo kutoka makampuni yaliyojiorodhesha kwenye mkataba wa COVAX ambayo ni BioNTech na Moderna itazigharimu kiasi cha Dola za Marekani kati ya 7-11 kwa chanjo moja".
Dola 7 - 11 kwa individual ni kiasi gani ?, Hii statement ingekuwa valid kama tungekuwa kweli tuna sera za afya bure ila hata hivi sasa mwendo wa kununua madawa na Bima zisizo rafiki mwananchi anagharamika sana katika matibabu (watu wameuza nyumba na wengine maiti zao kuzuiwa mahospitali
Ngetti ameendelea kusema, "kwa Tanzania pekee kama Rais Magufuli ataruhusu chanjo itatugharimu Tsh104Trilioni kwa idadi ya watu wetu nchi nzima. Hii ni fedha nyingi sana kwa nchi changa kama sisi".
Naam ni nyingi sana kwahio alternatively ni kupata ruzuku (kama tunavyopata kwenye magonjwa mengine) au kama, nilivyosema in the end indivuduals wanaweza wakachangia, hivi panadol, na dawa nyingine ni bure ?
Ngetti amefafanua kuwa fedha hizo zitatakiwa kukopwa kutoka Benki ya Dunia kwa udhamini wa ADB na itachukua miaka zaidi ya kumi kuzirejesha kwa riba ya asilimia 7.2.
Is that the only alternative ?, by the way kwa nchi tajiri kama wenzetu waingereza kwanini tukope ?
Aidha, Ngetti amehoji, "kama nia njema kwa nini wazungu wamekimbilia kutafuta chanjo badala ya tiba kamili? Walijua kwa tiba utahitaji dozi chache sawa na idadi ya walioambukizwa ambao kwa sasa ni milioni 100 lakini kinga utacheza namba ya watu duniani".
Wazungu wabaya sana sasa kuwakomoa si tutengeneze dawa sisi au akili zetu ni tofauti na zao ?, badala ya kulalamika kama kuna alternative tutengeneze sisi dawa tuwauzie wote...
"Jambo la pekee kama Taifa tunalotakiwa kufanya ni kufuata masharti ya kujikinga huku tulifanya kazi kwa bidii, huu ni upepo unaovuma na kupita, tusiondoshwe kwenye reli".
Yap watakaokufa na wafe by the time upepo unapita..., na sababu hakuna nayeijua kesho ni jukumu la mwanadamu kutumia kila mbinu ya kupambana, hizo chanjo / tiba hazitoki kwenye miti, hence ningemuona wa maana angehimiza taasisi zetu zisaidiane na taasisi zote ulimwenguni kutafuta chanjo na dawa ya magonjwa haya na mengine yatakayokuja kesho na keshokutwa (kwenye uhai hakuna ya kwetu au ya kwao, kuna inayofanya kazi au haifanyi)....., likipita hili litakuja jingine (kwa ulimwengu wa sasa wa muingiliano na uchafuzi wa mazingira hio ni inevitable...
 
Kumbuka na wenyewe wanakufa kama sisi, kama wana uwezo basi wangekuwa wamelipatia ufumbuzi
lkn bado na wao wanapukutika zaidi yetu....hapa issue sio mabeberu
Nadhani tuache kutumia akili za kukaririshwa eti kila kitu ni mabeberu.
 
Kumbuka na wenyewe wanakufa kama sisi, kama wana uwezo basi wangekuwa wamelipatia ufumbuzi
lkn bado na wao wanapukutika zaidi yetu....hapa issue sio mabeberu
Nadhani tuache kutumia akili za kukaririshwa eti kila kitu ni mabeberu.
 
Na kuna mbwa wanabweeeka wakililia chanjo
Mimi ndio nashindwa kuelewa maana hao wazungu wenyewe wengine bado hawajachanja wanasikilizia hadi sasa ila huku naona watu wanazililia kabisa.
 
Kumbuka na wenyewe wanakufa kama sisi, kama wana uwezo basi wangekuwa wamelipatia ufumbuzi
lkn bado na wao wanapukutika zaidi yetu....hapa issue sio mabeberu
Nadhani tuache kutumia akili za kukaririshwa eti kila kitu ni mabeberu.
 
Hoja ya JIWE kuwa tusikubali mambo kichwa kichwa mradi yametoka kwa wazungu ni ya msingi. Hawa wanasayansi wetu wanatakiwa wawe msaada wakati huu kama sio kutafiti juu ya chanjo wajitahidi kuangalia kama hizo chanjo zinaweza kuwa na madhara gani kwetu!! Hakuna taasisi yenye moral authority kutulazimisha juu ya chanjo ambayo hatuna uhakika nayo.

Ni kweli nchi yetu ukiifananisha na majirani zetu hatukupoteza watu wengi huko nyuma [ maybe because of HERD IMMUNITY!}; tuangale kama zile hatua za NYUNGU na kuvaa barakoa na social distancing zilikuwa na msaada kuweza kuepuka vifo vingi!

Wale mataga wnaojipendekeza waache kabisa tabia ya kuwadanganya watu kuwa corona haipo nchini bali wawahimize watu kulinda maisha yao kama wanasayansi wanavyotuhimiza; tabia ya kuwanyanyapaa wanao vaa barakoa ni lazima ikemewe na viongozi wa nchi. Hizi chanjo mpaka sasa hakuna mtu mwenye uhakika nazo kuhusu umahili wake wa kuzuia hivyo sio vibaya tukawa na subira wakati tunajihakikishia kuwa uamuzi tutakaofanya juu ya chanjo utakuwa na faida za muda mrefu kwa nchi!

Swali la kizushi " KWANINI BILL GATES; MFADHILI MKUBWA WA HIZI CHANJO , YEYE NA FAMILIA YAKE HAWAJAONESHWA WAKIPATA HIZO CHANJO?"
Bulesi unaaminika hapa JF ila hapa umeonyesha kuunga mkono nadharia potofo za Magufuli ambazo nazifananisha na porojo za kwenye vilabu vya mataputapu. Nitaelezea.
1. Umesema hatukupoteza watu wengi kulinganisha na majirani zetu. Hili siyo kweli. Tanzania watu alifariki sana mwaka jana hasa kipindi kile wanazika watu usiku. Kulikuwa na marufuku ya kutoa idadi ya wanaofariki. Na zaidi kwa vile hakukuwa na data zozote wagonjwa na vifo basi huwezi kulinganisha.
2. Tanzania hakukuwa na hatua ya social distancing hata kidogo na badala yake naweza kusema kulikuwa na ''social closeness''. Watu walihimizwa kujilundika kwenye nyumba za ibada ambako nako kulikuwa na maambukizi na vifo ambavyo vilifichwa. Barakoa nazo zilivaliwa muda mfupi sana na ''Kivuruge'' akaanza kuzi-crash kwenye hotuba zake hivyo zikaachwa.
3. Kuhusu chanjo kufanyiwa uchunguzi nakubaliana nalo (japo nina uhakika kuwa uwezo huo hatuna). Kufanyiwa uchunguzi siyo dhambi na hata nchi za Ulaya (EU) wataalam wao wamefanya uchunguzi kwanza, Uingereza nako hivyo hivyo USA nako zilifanyiwa kabla ya kuruhusu kutumika. Tatizo la Tanzania ni Kivuruge alipoamua kutoa kauli ya kusema chanjo siyo salama badala ya kuachia wataalam wanaohusika kufanya kazi yao.
4. Kuhusu Bill Gates kuchanjwa. Ndiyo alishachajwa. Na kwa taarifa yako ni kuwa siyo mtu kwenye kila familia anachanjwa. Chanjo imeanzia kwa wahudumu wa afya, watu walio kwenye risk na watu wenye umri mkubwa.
 
Ni takriban miaka miwili jina la Cyprian Musiba limesikika sana kwenye vyombo vya habari akiwa ni wakili wa Rais Magufuli akimtetea kwa kila jambo huku akiwatukana wakosoaji wa Rais.

Kazi hiyo Musiba ameifanya kwa muda mrefu kupitia magazeti aliyopewa na "kitengo" yakichapishwa Malindi Printers ambayo ni kampuni ya TISS ya uchapaji.

Taarifa zilizopo ni kwamba kwa sasa kazi hiyo ya kumsifu na kuabudu amepewa Mwandishi Bollen Ngetti ambaye amejitokeza hadharani kumuunga mkono Rais Magufuli na msimamo wake kuhusu Chanjo kupitia taasisi ya Tanzania Human Rights-Foundation, (TAHURI).

Chanzo changu kimedokeza, "ndugu yangu sasa ni zamu ya Bollen Ngetti, kijana msomi na mweledi lakini amekubali kutumika, inauma sana. Ngetti aliaminika sana na wapenda demokrasia japo pia inadaiwa ni wa kitengo. Kifupi tumempoteza kijana huyu ambaye huwezi kujua anakoishi jijini Dar'.

Kwa sasa Musiba amesitishiwa huduma zote za hifadhi naona toleo jipya ni Bollen Ngetti. Walio karibu naye wamwondoe huko mapema atetee wanyonge.
Sijui nikushukuru vipi? Huyu Ngetti hana weledi wowote. Huwezi kuwa mweledi ukatumika kama Musiba. Toilet tissue. Alikotupwa mtangulizi wake panamhusu.
Hata aliyemzaa hawezi kumuondoa huko. Wote walotekwa walitekeka. Wasiotekeka ni Roma na labda Nondo. Walijiteka! Wengine walitekwa hata na Dewji pia. Angalia hata watumishi wa Mungu ambao hatukusikia watekwe. Wametekwa! Kakobe, Gwajima, Katunzi, Gamanywa na wengine wenye kazi ya kumfunda kiongozi mkuu wa malaika. Tofauti na Mwingira, Munga, Mpemba, Mwamakula, Bagonza na wafa na kondoo wao wengine.
Ngetti sio bollen bali fallen. Lini tusome hitima? Kurudi afufuke mwenyewe. Waweza mrudisha Gwajima aliyeunda kundi la kikabila? UtekaZito!
 
Jamani mara hii mshasahau kua Mzee ndio aligundundua corona kwa Papai,Mbuzi na nk, pia lile sakata la vipimo feki na watu wake wa Maabara kuu ya Taifa kisha baada ya hapo tukaingia katika maombi na corona ikapotelea mbaaaali mmesahau tu...?! Hayaa mara tukaanza sikia mara India nao wamegumia vipimo vya Uchina kua ni fake akaja Museveni nae akatoa speech kama ya Mzee wetu. Hatukukaa sawa Taifa la KENYA ambalo lilionyesha dharau na kejeli hadharani dhidi ya kauli za Rais wetu hapo awali like Maombi ya siku tatu (3) na Mbuzi nao wanacorona nao wakatangaza Maombi ya siku tatu Kitaifa haikutupa shidaa mara paap!!!! Rais wa Marekani kipindi hiko Donald Trump nae akafuata kile Rais wetu alilitangazia Taifa kuhusu maombi kwa pamoja Wamarekani wakaingia katika maombi ya kitaifa, Kama watanzania tukaanza kummwagia sifa kedekede Rais wetu tukampa na majina kama Rais wa dunia, Mwenye maono na mengine mengiii Tanzania ikang'ara kimataifa na kuonekana kama sehemu salama zaidi kipindi hiki cha Mtikisiko wa covid19 duniani kwa ujumla. Hiki kipindi cha kwanza Tanzania tukavuka kwa usalama zaidi maana ya kua kila shughuli iliendelea kama ilivyo Ada. Awamu ya upili sasa imeingia naam, imeingia wakati ambao Dunia tayari imeshapata chanzo 4 mpaka 8 kwa taarifa zaidi huku company za utengezezaji wa chanjo hizo wakielezea kwa ufanisi namna ambavyo chanjo hizo zinafanya kazi yake katika miili yetu. Mara ameibuka tena yule tuliempa majina mengi ya kishujaa tena ya upekee kabisa akatia neno katika hizo CHANJO ZA COVID mzozo umeibuka ghafla huku kukiwa na taharuki kibao za tetesi ya virus vipya kuingia nchini mwetu, Muda huu Mzee anaonekana asiye faa kwa kauli yake ya kulihimiza Taifa kuhusu madhara ya kukimbilia chanjo mjadala umekua mkubwa mambo yanaongelewa mengi huku yakishika kasi kutia hofu ndani ya mioyo ya watu hii ni hatari kwa Taifa.

MWISHO: nimalizie kwa maswali FIKIRISHI ndani ya vichwa vyetu kama watanzania, Ni nini kilitufanya tukaamini hatuna CORONA na tuko salama kiasi tukaendelea kuchangamana mpaka sasa?!.... Je, mnakumbuka yale majeneza yaliyokua yanazikwa usiku, vipi?!.... Ile movie iliishia wapi baada ya msimamo wa serikali juu ya kua Taifa liko salama hivyo ikibidi yazikwe tu mchana. Na veepe! kuhusu watu waliokua wanaanguka pale Kariakoo haya mapicha yaliishia wapi?!..... AMANI IWE NANYI WANA JF nawasilisha.
 
Bulesi unaaminika hapa JF ila hapa umeonyesha kuunga mkono nadharia potofo za Magufuli ambazo nazifananisha na porojo za kwenye vilabu vya mataputapu. Nitaelezea.
1. Umesema hatukupoteza watu wengi kulinganisha na majirani zetu. Hili siyo kweli. Tanzania watu alifariki sana mwaka jana hasa kipindi kile wanazika watu usiku. Kulikuwa na marufuku ya kutoa idadi ya wanaofariki. Na zaidi kwa vile hakukuwa na data zozote wagonjwa na vifo basi huwezi kulinganisha.
2. Tanzania hakukuwa na hatua ya social distancing hata kidogo na badala yake naweza kusema kulikuwa na ''social closeness''. Watu walihimizwa kujilundika kwenye nyumba za ibada ambako nako kulikuwa na maambukizi na vifo ambavyo vilifichwa. Barakoa nazo zilivaliwa muda mfupi sana na ''Kivuruge'' akaanza kuzi-crash kwenye hotuba zake hivyo zikaachwa.
3. Kuhusu chanjo kufanyiwa uchunguzi nakubaliana nalo (japo nina uhakika kuwa uwezo huo hatuna). Kufanyiwa uchunguzi siyo dhambi na hata nchi za Ulaya (EU) wataalam wao wamefanya uchunguzi kwanza, Uingereza nako hivyo hivyo USA nako zilifanyiwa kabla ya kuruhusu kutumika. Tatizo la Tanzania ni Kivuruge alipoamua kutoa kauli ya kusema chanjo siyo salama badala ya kuachia wataalam wanaohusika kufanya kazi yao.
4. Kuhusu Bill Gates kuchanjwa. Ndiyo alishachajwa. Na kwa taarifa yako ni kuwa siyo mtu kwenye kila familia anachanjwa. Chanjo imeanzia kwa wahudumu wa afya, watu walio kwenye risk na watu wenye umri mkubwa.

Nakubaliana na mchango wako mia kwa mia kuwa kauli za Jiwe kuhusu corona hazikuwatendea haki wananchi hasa pale aliposema kuwa corona imetoweka Tanzania kwa njia ya maombi!! Kwa scientist kama yeye ilikuwa ya kupotosha.

Kitu ninachodhani ni busara kufanya ni kutokuwa na haraka na hizi chanjo kwani hata huko ughaibuni bado wanasayansi hawana uhakika wa efficacy ya hizi chanjo!!! Hasa hasa hizi chanjo mpya ambazo zinatumia vimelea vya kuumba tofauti na vaccines ambazo zinatumia mtindo wa zamani ambao hautumii vimelea vya kuumba!!! Haijulikani athari zake kwa binadamu kwani ndio mara ya kwanza kutumika!!! Kuna uwezekano kabisa kuwa kwavile hizi vaccines mpya zinahusisha DNA, upo uwezekano vaccines hizo zikaleta madhara kwa binadamu tusiyoyajua!! Hivyo twende taratibu na tuendelee kufanya kama tunavyoshauriwa na wataalam wetu kujifukiza, kula ZINC na vitamin C ; kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko ya aina zote; mpaka hapo tutakapojiridhisha njia salama kwa wananchi kupambana na hili gonjwa.
Tusiingize mambo ya siasa katika vita hii dhidi ya hii balaa ama sivyo tutakwisha.

Nashukuru kwa hiyo link ya Bill Gates kupata chanjo.
 
Back
Top Bottom