Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Sukuma gang mtahangaika mno ila nchi inasonga kwa kasi.Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.
Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.
Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.
Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika
Ndio akina nani hao? Je hii mada inahusu hao jamaa?Sukuma gang mtahangaika mno ila nchi inasonga kwa kasi.
Na hamtakaa mpewe nchi tena
Mkuu una maana ya Rais ama taasisi ya urais? Kuhusu uchungu wa kodi, viongozi wakuu wa taasisi hii hawalipi kodi, ndiyo maana hawaguswi na kilio cha wadau wengine.Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.
Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.
Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.
Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika
Umeandika vizuri, marais wengi wa kiafrika wanakuwa ni sehemu ya wizi na ufisadi. Katika majina uliyotaja ondoa la Magufuli kwani alikuwa kituko na aibu kwa taifa. Mwizi wa kura atashindwa je kuliibia taifa. Pesa za plea bargain ziko wapi nkAngalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.
Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.
Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.
Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
Masikini wajane wa Marehemu Jiwe mnatapatapa tu sasa hv.Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.
Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.
Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.
Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
Bakini na ujinga wenu nchi ilishawashinda nyie Sukuma GangWaliamua kuajiri watu wao watoto wa vigogo , wacha wawaangushe, ukimuajiri mtu maskini hataibia serikali, angalau atakuwa na uchungu na nchi yake, ukimuajiri mtoto wa kigogo , ndo ataiba vizuri kwa sababu amekwishazoea pesa. Huu wizi Ni matokeo ya kupeana connection za wao kwa wao. Hatuhitaji mtu msomi saana kwenye hizo nafasi, tunahitaji mtu asiyeweza kuiibia serikali. Period.
Duh!Umeandika vizuri, marais wengi wa kiafrika wanakuwa ni sehemu ya wizi na ufisadi. Katika majina uliyotaja ondoa la Magufuli kwani alikuwa kituko na aibu kwa taifa. Mwizi wa kura atashindwa je kuliibia taifa. Pesa za plea bargain ziko wapi nk
Halafu watu wanapozungumzia mambo muhimu ya nchi acheni kutafuta kichaka cha kujifichia ili kuua mijadala mnakera sanaSukuma gang mtahangaika mno ila nchi inasonga kwa kasi.
Na hamtakaa mpewe nchi tena
Tutajie aliyedhibiti ubadhilifuAngalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.
Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.
Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.
Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
Yaani watu wenye heshima zao unawaweka kundi moja na jiwe, kuwa na heshima basi hata kama wewe ni Sukuma gang.Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka.
Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende kwenye duka la mhindi.
Mbaya zaidi ni kuwa Tv ipo Magogoni ila rimoti ipo Msoga.
Marais kama Julius Nyerere, Nkwame Krumah, John P Magufuli, Patrik Lumumba na Thomas Sankara watakumbukwa kwa kulinda mali za Afrika.
we kafanye kazi acha kubwabwaja huku.Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.