Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Unamjuwa muhaini lakini? Well basi sawa nakushukuru. I pray for my country kama wewe unaona kuliombea taifa ni uhaini basi sawa. Japo hatufanani na kamwe hatuwezi fanana. Ila usisahau bandi lako
Hizi thread zako zinatosha kuonyesha we ni mtu aliyekata tamaa na maisha
 
Tunauishi huu ukweli wakati wa sasa, ila sio milele (milele waijua na kuisema wewe). Mimi ni CCM ndaki ndaki lakini hakuna guarantee ya sisi kushika madaraka milele.

Tujifunze kwa Herode....alishika madaraka na kujiona mtukufu kama Mungu...akiwa ktk kuuelezea utukufu wake kwenye hotuba yake mara chango wakamwambia tutalisokota tumbo lako hadi roho ikutoke. Hivyo, CCM ingali ina nguvu kubwa na dola nyuma, lakini yaweza anguka siku moja tena anguko kubwa mno!!!
 
Mimi nataka nione Mungu na CCM nani atatawala milele. Nataka hata kabla hujaishiwa nguvu uyaone haya... Nikukumbushe.... Katika Afrika Mashariki yapo mataifa matatu kama sio manne tawala zake hazitodumu. Huwezi jenga Taifa juu ya dam ya watu wa taifa lile just tu ili utawale milele. Hilo halitowezekana. Labda Mungu asiwepo ila kama Yupo atajibu
 
We ni kenge mmoja ambae huna nguvu yoyote kwenye serikali hii, acha porojo zako za mitandaoni, Kama humpendi Samia,Basi penda Nchi yao binti
Wapi nimeandika jomba maneno hayo kama sio kujifanya unamapenzi na mtu while huna lolote tena ndio wakwanza kumkosoa sirini. Bora hata sisi tunamuombea. Hujuwi chochote kama wale walio dhani wangetawala milele na Baba leo wanahaha kwenye mahakama. Siitaji nguvu ya dunia nina nguvu za Mbinguni na nina uwezo ambao hauna sasa sema kingine. Acha kuongozwa na hisia zakijinga hili taifa linapita nyakati tunamuitaji Mungu kuliko hizi porojo za siasa.
 
Ni "kwa kuteswa KWAKE, sisi tuliponywa" , vivyo hivyo ni "kwa kutwaliwa kwake, Tanzania imeponywa".
P
 
Kuna ajira 7000 zimetoka za ualimu, chukua vyeti vyako sasa ukapate ajira,

maana chuki yako yote ni kukosa ajira Tangu kipindi kile Cha dikteta, Samia amemwaga ajira 19000 za ualimu
 
Wee acha kufuru hizo, ccm itawale milele imekuwa Mungu. Kimsingi unawashtaki kwa Mwenyezi ili awaondoe.
 
Dam Ya Yesu ndio Wokovu wetu. Amen
Yes ni wokovu wetu kufika kwa Baba yetu. Ila kwa kuishi, nchini kuna mashujaa kibao wamejitoa sadaka kwa machozi, jasho na damu kuifia Tanzania, ni kwa sadaka zao, Tanzania imeponywa.
P
 
Kuna ajira 7000 zimetoka za ualimu, chukua vyeti vyako sasa ukapate ajira,

maana chuki yako yote ni kukosa ajira Tangu kipindi kile Cha dikteta, Samia amemwaga ajira 19000 za ualimu
huyo hataki ajira ila anatuasa "tuombe" Kwa ajili ya Nchi..mboni huelewi ...
 
1Tim 2 : 1-3 Basi, kabla ya mambo yote,nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani,zifanyikevkwa ajili ya watu wote,kwa ajili ya Wafalme na wote wenye mamlaka,tuishi maisha ya utulivu na amani,ktk utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri,nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu
Hivi kuombea viongozi na nchi ni wajibu wetu site, tuamke tuombe , tusinyamaze !
 
Kuna ajira 7000 zimetoka za ualimu, chukua vyeti vyako sasa ukapate ajira,

maana chuki yako yote ni kukosa ajira Tangu kipindi kile Cha dikteta, Samia amemwaga ajira 19000 za ualimu
Sina chuki na serikali nina chuki nawatu wanashindwa fuwata taratibu na sheria tumejiwekea kwajina la jamuhuri. Sina shuki na serikali ila nina chuki kuona watu walio apa nakusema watailinda katiba wao ndio wakwanza kushindwa kuifuwata ila wanataka watu wafuwate utaratibu. Kwangu hili lina niuma sana kuliko hizo ajira. Kukiwa na haki na usawa bila kuajiriwa na ajira za serikali naweza kufanya biashara zangu nanisidhulumiwe na watu walio ajiriwa na serikali. Mifumo mizuri ya kodi inayojali kipato changu sio unakusanya bila kujali napata nini unakusanya mpaka my working capital alafu unatangaza umekusanya 1trilion. Haki uinuwa taifa na dhuluma hulizamisha taifa.
 
Na hichi ndicho kitaenda tokea. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…