Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Tate kumbe kazi yote ya propaganda ya kuitoa ccm ni kuwa ili na ninyi mle na kugawana keki ya taifa??? Basi maombi yako yashindwe kabisa kufaulu ama wapewe wengine wenye maono ya kuwapigania watanzania kwa ajili ya taifa zima
Mkuu Nyamsenga, kama umenisoma vizuri utagundua kwamba natamani tu kuona wananchi wote wa Tanzania, ukiwemo wewe na mimi tukiifaidi keki ya Taifa kwa mgawanyo unao karibiana! Badala ya hivi sasa ambapo ccm wanajiona kama ndiyo wenye haki miliki ya hii nchi.

By the way, mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha kisiasa! Ingawa siwezi kupinga wakati fulani nimekuwa mshabiki wa harakati za Chadema. Kiukweli msimamo wangu uko wazi kabisa! Nitafurahi sana siku ya kushuhudia anguko la ccm.
 
Mkuu Nyamsenga, kama umenisoma vizuri utagundua kwamba natamani tu kuona wananchi wote wa Tanzania, ukiwemo wewe na mimi tukiifaidi keki ya Taifa kwa mgawanyo unao karibiana! Badala ya hivi sasa ambapo ccm wanajiona kama ndiyo wenye haki miliki ya hii nchi.

By the way, mimi nimekuwa mshabiki wa harakati za Chadema. Kiukweli msimamo wangu uko wazi kabisa! Nitafurahi sana siku ya kushuhudia anguko la ccm.

Mkuu Tate Mkuu, kwasababu ni Mungu ndiye huziweka serikali za mataifa, CCM haijajiweka yenyewe, umewekwa na muwekaji serikali za mataifa, hivyo kama furaha yako ni kuiona CCM ikianguka, then utasubiri sana!.

CCM ndio chama pekee cha siasa nchini Tanzania, chenye long experience ya muda mrefu ya kuitawala Tanzania, na the
current situation of political dynamics ya siasa zetu, unless otherwise, vinginevyo, CCM itatawala milele!.
Ref: Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
 
Mungu ayaone mateso ya Watanzania kwa kuongozwa na CCM na alete mbadala mwingine kuiponya nchi yetu.
CCM hawana tofauti na ZANU PF wanavyotesa raia Zimbabwe huku viongozi wakiwa kwenye Raha tu.
Wanasiasa wa nchi hii wanaiga uovu wa CCM kiasi Cha kwamba wananchi hawaoni mbadala mwingine.
Imetosha Sasa Mungu aingilie Kati mwenyewe.
Aliweza muondosha Sauli na wadhalimu wengine hatoshindwa isuka upya nchi yetu pendwa.
 
Pascal mimi najuwa unayo haki kuandika hivyo umeandika. Hapa hakuna duwa ya kuku wala ya ng'ombe ila ipo kazi mbele as a nation lazima tusali. Wakati tunarushia vijembe na vikokoto yapo mataifa yanalitamni hili taifa kwa muda mrefu sana na niswala la muda kwa mtu ulie deep on mambo ya siasa unaweza juwa wakati tupo na wakati unaokuja. Tuweke mbali uchama na tuweke mbali siasa tunaitaji kusali.. Tupo watu kabisa tulijuwa Hayati Magufuli speed yake ingeweza kuwa kigingi cha maisha yake.. Nahii imeandikwa hata ktk Bible pale Musa alikuwa akitaka kusikiliza kila tatizo la mu israel. Mungu akamtuma shemeji yake nakumwambia angekufa kwa aina ya maongozi yake. Tena akamwambia aunde baraza la wazee wenye hekima wasikilize matatizo ya watu. Nandio chimbuko la baraza la mawaziri unaona leo. Je nikweli hatukumbuki yaliotukuta kama taifa na mwisho wa haya yote?
Labda nikukumbushe ukasome kile kilitokea Zambia namfululizo wa head of state kudKwondoka na vile sisi kama taifa hatupaswi lala kuliombea hili taifa.
If ye ask me Kifo cha Magufuli nitakujibu neno moja hakikuwa kifo cha kawaida kina siri kubwa sana kwa viongozi wote wakitaifa na sisi watanzania.
Kiufupi sio dalili njema kule tunaenda hata wale wamemrithi sio hata muda wakusema watu wanashangilia nafasi zao trust me Taifa tunaomboleza na tupo maombolezo...
Ila unaweza jisahaulisha atupo maombolezo ila time will tell us... Kwahiyo wewe baki naduwa la kuku ila muda utakukumbusha haya nimeandika.
Kwanini haya yanatokea!?
 
Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania.
Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu.

Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku zijazo au utashuka na kuusikiliza mkutano wao nakuwagawanya ndimi kuliokoa Taifa?

Wakati Hayati baba wa Taifa anaondoka hapa duniani alisema neno ambalo kwa sasa huu niwakati wako kulitekeleza... Alisema anatuombea Watanzania na yakwamba alitupenda na aliona yatakayo tokea kwa watanzania na akaomba Utusaidie na kutuokoa.

Mungu najuwa yapo mambo yamekukera na yamekukwaza na umeshuka kwa operation maalumu ktk Taifa la Tanzania najuwa watanzania wengi wakiwa wamelala wasijuwe chochote wewe utapita ktk anga ya Tanzania nakuacha watu midomo wazi wakati watakapo amka wasiamini kile umefanya.

Baba najuwa huu mwaka mpaka 2025 matendo yako yatakuwa dhahiri kwa taifa swala la haki utu na usawa utalisamia like never before. Wengi hawato amini ila je jina lako lidharaulike ? Lahasha kwa ajili ya watanzania umeshuka kwa ajili ya hili taifa umeshuka.

Hukushindwa kumpa miaka mingi Hayati Magufuli ila Wewe kwakuwa ni Mzee wa Siku Baba wa Siri za dunia ukaufupisha mwisho wake baada yakuona Kesho ambayo hakuna mtanzania aliijuwa na hata milele hatutojuwa maana jambo hili halikuwa lakawaida na kamwe pasipo kuachia wewe lisingetokea. Ila umetuacha na maswal magumu kwanini ulimuondoa katikati ya watu milion arobain na kitu? Mbona Ezekia ulimuongezea miaka yakuishi why not Magufuli?

Ulishuka ukawasikiliza ukaona mipango yao na malengo yao ktk siri ukausitisha mpango wao na hii nikujidhihirisha Wewe ni Mungu wa Taifa hili tumelia tumeombeza ila Wewe unabaki kuwa Mungu. Mapenzi yako yatimizwe duniani kama mbinguni na kazi yako haina makosa.

Wakati huu umeshuka na wengi wapo ktk usingizi wakiwa wamesahau kile kimetokea...
Wengine wakiabudu miungu nakupunga pepo kwa ajili ya Taifa je malango ya Taifa utaruhusu haya yatoke? Moyo wangu unalia na unaomboleza maana najuwa hutokubali na mbaya kuliko yote Utajibu wakati wakiza kinene sana.

Weka maarifa na hekima kwa wakuu wa ulinzi na usalama wa Taifa hili waonyeshe ktk maono na ndoto yale yatatokea wape mbinu za kimbingu kulinda amani ya Taifa Tz.

Taifa hili ni Taifa lako Taifa hili ni mali yako Mungu ulio wapa watanzania wote pasipo kujali dini,kabila au tamaduni. Sisi ni watoto wako. Amen
Nini umeona mkuu...
 
AMEN. Japo dua hili ni dua la kuku, ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa, ni Mungu ndiye alimleta JPM, hivyo JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania. Vivyo hivyo ni Mungu ndiye alimtwaa JPM na kumpangia kazi nyingine, na badala yake akatuletea Samia, hivyo Samia pia ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania. Mungu hapangiwi, hupanga mwenyewe, hivyo hakuna sababu watu humu kuanza kuleta maombi ya dua la kuku!.
Kama Mungu amepanga ni amepanga!.
P
One among hypocrites to ever live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli yake kuhusu mikopo inadhihirisha uzalendo wake.

Hakuogopa taasisi ya urais wala kupoteza cheo chake.

Japo wanasema aliropoka ila ujumbe ulifika katika ukubwa wake.

Haijalishi amekosea mangapi ila kipindi hiki ndo uzalendo wake umejidhihirisha.
Hakuogopa? msamaha aliomba wanini ?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
AMEN. Japo dua hili ni dua la kuku, ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa, ni Mungu ndiye alimleta JPM, hivyo JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania. Vivyo hivyo ni Mungu ndiye alimtwaa JPM na kumpangia kazi nyingine, na badala yake akatuletea Samia, hivyo Samia pia ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania. Mungu hapangiwi, hupanga mwenyewe, hivyo hakuna sababu watu humu kuanza kuleta maombi ya dua la kuku!.
Kama Mungu amepanga ni amepanga!.
P
si kila kitu kinapangwa na MUNGU KUNA SIKU HATA KWA KUCHELEWA UTAJUA HILO
 
Huna legitimacy ya kuchukia maovu.

Nyie ndo mlinufaika kipindi cha jiwe sasa mnalia lia tu.

Mungu atatenda kadiri ya wema wake. Lakin sio kwa kikundi cha watu wachache waliokuwa waovu sasa wamedhibitiwa.
Nina ona maono japo sijuwi nini kinapangwa ila ninajuwa vyombo vya ulinzi vipo imara
 
AMEN. Japo dua hili ni dua la kuku, ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa, ni Mungu ndiye alimleta JPM, hivyo JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania. Vivyo hivyo ni Mungu ndiye alimtwaa JPM na kumpangia kazi nyingine, na badala yake akatuletea Samia, hivyo Samia pia ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania. Mungu hapangiwi, hupanga mwenyewe, hivyo hakuna sababu watu humu kuanza kuleta maombi ya dua la kuku!.
Kama Mungu amepanga ni amepanga!.
P
Lakini pia wale wanaounda serikali pasipo mapenzi ya Mungu.

Naye Mungu hutenda iliyohaki ama kwa kuwatwaa ama kwa pigo lolote lile ilimradi tu wasitekeleza uovu wao.
 
Mkuu Tate Mkuu, kwasababu ni Mungu ndiye huziweka serikali za mataifa, CCM haijajiweka yenyewe, umewekwa na muwekaji serikali za mataifa, hivyo kama furaha yako ni kuiona CCM ikianguka, then utasubiri sana!.

CCM ndio chama pekee cha siasa nchini Tanzania, chenye long experience ya muda mrefu ya kuitawala Tanzania, na the
current situation of political dynamics ya siasa zetu, unless otherwise, vinginevyo, CCM itatawala milele!.
Ref: Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Mungu ni cheo hivyo ni vyema ukatuambia Mungu yupi huweka Selikari za mataifa.

Hata shetani ni mungu wa dunia hii tena ndie mmiliki wa fahari zote naye humpa yeyote kama apendavyo ilimradi tu akianguka kumsujudia. Sasa utuambie hizi Sekari mbili zimewekwa na Mungu yupi?[/QUOTE]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Namkubali Sana Mh Rais wa Sasa namna anapambana walau kuweka nchi kwenye level kwa kuwa amerithi kipindi kigumu Sana.
Lakini changamoto iliyopo anaweza fight mfumo? maana hilo ndio lilimgeuza mtangulizi wake Hadi kuwa a Monster.
Kwa nini unasema hakuna Chama mbadala Cha kushika Dola nje ya CCM?, wakati mwingine binafsi nataman kuona upande B unaweza vipi kutuongoza.
Huoni USA wanavyo switch vyama
Ila naye apunguze mambo ya uchifu. Tunakuwa kama watu wa tamaduni na matambiko.
 
AMEN. Japo dua hili ni dua la kuku, ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa, ni Mungu ndiye alimleta JPM, hivyo JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania. Vivyo hivyo ni Mungu ndiye alimtwaa JPM na kumpangia kazi nyingine, na badala yake akatuletea Samia, hivyo Samia pia ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania. Mungu hapangiwi, hupanga mwenyewe, hivyo hakuna sababu watu humu kuanza kuleta maombi ya dua la kuku!.
Kama Mungu amepanga ni amepanga!.
P
JPM alikuwa chaguo la mungu????? pengine mungu wa wale wajadi, sio mungu muumba bingu na nchi
 
Pascal mimi najuwa unayo haki kuandika hivyo umeandika. Tupo watu kabisa tulijuwa Hayati Magufuli speed yake ingeweza kuwa kigingi cha maisha yake..
If ye ask me Kifo cha Magufuli nitakujibu neno moja hakikuwa kifo cha kawaida kina siri kubwa sana kwa viongozi wote wakitaifa na sisi watanzania.
Kiufupi sio dalili njema kule tunaenda
Duh...!.
Sisi wengine wenu kuna vitu tuliuliza humu,

hatukuwahi kujibiwa ila matokeo ndio tumeshuhudia!.
P
 
Muogope Mungu kunasiku mtakaa kimya nawaambia naomba ukasome niliwahi andika ipo siku kutakuwa kimya... Bora hata tunao liombea Taifa.
Bro do not worry, it is well with thee!

Those who know their God shall mount like egeal...Just remain silent and just observe how God is man of war, yours is to shout halleluja; the Egyptian you see today shall see them no more...King rules by decree. Its done, tukutane Galileah!
 
Ccm kosa kubwa Sana ambalo wamewahi fanya ni Namna walivyo wa handle upinzani nchini !!wangekua na siasa rafiki kwa upinzani leo wangelivusha Taifa kupitia upinzani lakini wanakosa kimbilio na kubaki wakipambana wenyewe kwa wenyewe kitu ambacho ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu!!upinzani sio uadui wala ugaidi hao ni watnzania tena ndugu zetu wa damu!!kwanini tuwatese na kuwaua na kuwanyima haki ya kufanya siasa nchini???
 
Hoja hii imekuja vipi na maombi yangu? mpuuzi atakuwa mimi au wewe? Unatutoa kwenye msitari kuanzia paragraph yakwanza mpaka ya mwisho kuna mahali naelezea mambo yanahusu taasisi ya Rais au unataka kupata maneno yakuongea ? Au unafikiri hili taifa nilawatu fulani au au chama au watu wakabila fulani? This is our country tunahaki yakuzaliwa ktk taifa hili na usije hapa na siasa zako na kuunganisha na thread yangu...
Kunasehem nalalamika kwangu maji akuna au kuna daraja limesimama kujengwa?
Nimeandika mambo ambayo low brain hawezi kuona wala kuwaza naongea habari za Taifa taifa la watanzania tunamuitaji Mungu kuliko wakati mwingine kama ni dhambi basi sawa ila that is what i mean...
We ni kenge mmoja ambae huna nguvu yoyote kwenye serikali hii, acha porojo zako za mitandaoni, Kama humpendi Samia,Basi penda Nchi yao binti
 
Back
Top Bottom