Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Acha itokee tu maana tunazidi kuteseka na hatuoni uelekeo
 
Unaelewa mleta mada anachomaanisha ila tu unajifanya mjuawaji.

Mpuuzi weee, ungeonyesha makosa yangu kwa hiki nilichokosoa ningekuona wa maana.

Maombi au dua kwa Mwenyezi mungu hayatakiwi yapingane yenyewe (self contradictory) mfano mtu anaomba pesa halafu anakiri kuwa anazo pesa ameshapewa na huyo anayemuomba!!,

Huyo ndugu anamuomba Mungu ashuke lakini katika maelezo yake chini anakiri kwamba Mungu kishashuka isitoshe anasema Mungu ni baba wa taifa la Tz chini anasema Baba wa taifa la Tz ni Nyerere, au wewe hukuona huu mkanganyiko??!!.

Usifikiri usomaji wako ni sawa na usomaji wa kila mtu, wengine usomaji wetu tunaangalia hadi nukta, we read between lines.
 
Yule Ticha alishasema taifa limeonywa mara mbili akiwa Dar, akiwa Mwanza wanaotakiwa kusikia na kutekeleza maagizo ya Mungu hawakutekeleza hii ni mara y amwisho so watu wasipoingia katika maombi/toba hakika kilio ki malangoni
Unaweza kuniwekea link nisome hiyo habari?
 
Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania.
Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu.

Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku zijazo au utashuka na kuusikiliza mkutano wao nakuwagawanya ndimi kuliokoa Taifa?

Wakati Hayati baba wa Taifa anaondoka hapa duniani alisema neno ambalo kwa sasa huu niwakati wako kulitekeleza... Alisema anatuombea Watanzania na yakwamba alitupenda na aliona yatakayo tokea kwa watanzania na akaomba Utusaidie na kutuokoa.

Mungu najuwa yapo mambo yamekukera na yamekukwaza na umeshuka kwa operation maalumu ktk Taifa la Tanzania najuwa watanzania wengi wakiwa wamelala wasijuwe chochote wewe utapita ktk anga ya Tanzania nakuacha watu midomo wazi wakati watakapo amka wasiamini kile umefanya.

Baba najuwa huu mwaka mpaka 2025 matendo yako yatakuwa dhahiri kwa taifa swala la haki utu na usawa utalisamia like never before. Wengi hawato amini ila je jina lako lidharaulike ? Lahasha kwa ajili ya watanzania umeshuka kwa ajili ya hili taifa umeshuka.

Hukushindwa kumpa miaka mingi Hayati Magufuli ila Wewe kwakuwa ni Mzee wa Siku Baba wa Siri za dunia ukaufupisha mwisho wake baada yakuona Kesho ambayo hakuna mtanzania aliijuwa na hata milele hatutojuwa maana jambo hili halikuwa lakawaida na kamwe pasipo kuachia wewe lisingetokea. Ila umetuacha na maswal magumu kwanini ulimuondoa katikati ya watu milion arobain na kitu? Mbona Ezekia ulimuongezea miaka yakuishi why not Magufuli?

Ulishuka ukawasikiliza ukaona mipango yao na malengo yao ktk siri ukausitisha mpango wao na hii nikujidhihirisha Wewe ni Mungu wa Taifa hili tumelia tumeombeza ila Wewe unabaki kuwa Mungu. Mapenzi yako yatimizwe duniani kama mbinguni na kazi yako haina makosa.

Wakati huu umeshuka na wengi wapo ktk usingizi wakiwa wamesahau kile kimetokea...
Wengine wakiabudu miungu nakupunga pepo kwa ajili ya Taifa je malango ya Taifa utaruhusu haya yatoke? Moyo wangu unalia na unaomboleza maana najuwa hutokubali na mbaya kuliko yote Utajibu wakati wakiza kinene sana.

Weka maarifa na hekima kwa wakuu wa ulinzi na usalama wa Taifa hili waonyeshe ktk maono na ndoto yale yatatokea wape mbinu za kimbingu kulinda amani ya Taifa Tz.

Taifa hili ni Taifa lako Taifa hili ni mali yako Mungu ulio wapa watanzania wote pasipo kujali dini,kabila au tamaduni. Sisi ni watoto wako. Amen
Nimekumbuka Kitabu Cha Maombolezo.🤣🤣🤣
 
Ameen!
Na iwe hivyo mkuu.

Naamini hataisahau Msoga family! Ikibidi aanze nayo mara tu atakaposhuka. Mkono wake ghadhabu na hukumu uhusike hapa.

Wazelendo km Ndugai, Bashiru, Humphrey nk wanaonekana hawana maana.
Namuomba asisahau kuwainua kwa mkono wake wa baraka.
Mlikuwa mkifurahia maovu enzi zile. Kibao kimegeuka. Wenzenu tunajazia Bando tu.
 
Yule Ticha alishasema taifa limeonywa mara mbili akiwa Dar, akiwa Mwanza wanaotakiwa kusikia na kutekeleza maagizo ya Mungu hawakutekeleza hii ni mara y amwisho so watu wasipoingia katika maombi/toba hakika kilio ki malangoni
Dua la kuku hili.
 
Baba wa Mbinguni, mimi naomba tu usitishe uhai wa ccm ifikapo 2025! Baba wa Mbinguni, unafahamu fika ccm siyo chama cha siasa! Isipokuwa ni kikundi cha watu wachache tu wapigaji!

Baba wa Mbinguni, ifikie wakati hii keki ya Taifa tuitafune wote! Hata mimi pia natamani kuishi kwenye ghorofa! Kuendesha Vii Ei tee!! Lakini pia kuwasomesha watoto wangu Feza schools na pia huko ughaibuni!

Iweje miaka nenda iliwe na watu wachache tu wanaojiita ccm?
Haya ndio Maombi hata Mungu anapenda kusikia
 
Tunataka kuikabidhi Miungu Taifa letu? Kweli tutabaki salama? Kila dalili inaonyesha hivyo.....
 
Teacher yupi
Yule Ticha alishasema taifa limeonywa mara mbili akiwa Dar, akiwa Mwanza wanaotakiwa kusikia na kutekeleza maagizo ya Mungu hawakutekeleza hii ni mara y amwisho so watu wasipoingia katika maombi/toba hakika kilio ki malangoni
Alisema nini na wapi??
 
Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania.
Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu.

Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku zijazo au utashuka na kuusikiliza mkutano wao nakuwagawanya ndimi kuliokoa Taifa?

Wakati Hayati baba wa Taifa anaondoka hapa duniani alisema neno ambalo kwa sasa huu niwakati wako kulitekeleza... Alisema anatuombea Watanzania na yakwamba alitupenda na aliona yatakayo tokea kwa watanzania na akaomba Utusaidie na kutuokoa.

Mungu najuwa yapo mambo yamekukera na yamekukwaza na umeshuka kwa operation maalumu ktk Taifa la Tanzania najuwa watanzania wengi wakiwa wamelala wasijuwe chochote wewe utapita ktk anga ya Tanzania nakuacha watu midomo wazi wakati watakapo amka wasiamini kile umefanya.

Baba najuwa huu mwaka mpaka 2025 matendo yako yatakuwa dhahiri kwa taifa swala la haki utu na usawa utalisamia like never before. Wengi hawato amini ila je jina lako lidharaulike ? Lahasha kwa ajili ya watanzania umeshuka kwa ajili ya hili taifa umeshuka.

Hukushindwa kumpa miaka mingi Hayati Magufuli ila Wewe kwakuwa ni Mzee wa Siku Baba wa Siri za dunia ukaufupisha mwisho wake baada yakuona Kesho ambayo hakuna mtanzania aliijuwa na hata milele hatutojuwa maana jambo hili halikuwa lakawaida na kamwe pasipo kuachia wewe lisingetokea. Ila umetuacha na maswal magumu kwanini ulimuondoa katikati ya watu milion arobain na kitu? Mbona Ezekia ulimuongezea miaka yakuishi why not Magufuli?

Ulishuka ukawasikiliza ukaona mipango yao na malengo yao ktk siri ukausitisha mpango wao na hii nikujidhihirisha Wewe ni Mungu wa Taifa hili tumelia tumeombeza ila Wewe unabaki kuwa Mungu. Mapenzi yako yatimizwe duniani kama mbinguni na kazi yako haina makosa.

Wakati huu umeshuka na wengi wapo ktk usingizi wakiwa wamesahau kile kimetokea...
Wengine wakiabudu miungu nakupunga pepo kwa ajili ya Taifa je malango ya Taifa utaruhusu haya yatoke? Moyo wangu unalia na unaomboleza maana najuwa hutokubali na mbaya kuliko yote Utajibu wakati wakiza kinene sana.

Weka maarifa na hekima kwa wakuu wa ulinzi na usalama wa Taifa hili waonyeshe ktk maono na ndoto yale yatatokea wape mbinu za kimbingu kulinda amani ya Taifa Tz.

Taifa hili ni Taifa lako Taifa hili ni mali yako Mungu ulio wapa watanzania wote pasipo kujali dini,kabila au tamaduni. Sisi ni watoto wako. Amen
Mh hiyo paragraph ya sita 🤔 ngoja waje watunza legacy 🚶🚶🚶🚶
 
Ameen!
Na iwe hivyo mkuu.

Naamini hataisahau Msoga family! Ikibidi aanze nayo mara tu atakaposhuka. Mkono wake ghadhabu na hukumu uhusike hapa.

Wazelendo km Ndugai, Bashiru, Humphrey nk wanaonekana hawana maana.
Namuomba asisahau kuwainua kwa mkono wake wa baraka.
Wazalendo uchwara!!
 
AMEN. Japo dua hili ni dua la kuku, ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa, ni Mungu ndiye alimleta JPM, hivyo JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania. Vivyo hivyo ni Mungu ndiye alimtwaa JPM na kumpangia kazi nyingine, na badala yake akatuletea Samia, hivyo Samia pia ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania. Mungu hapangiwi, hupanga mwenyewe, hivyo hakuna sababu watu humu kuanza kuleta maombi ya dua la kuku!.
Kama Mungu amepanga ni amepanga!.
P
Daaah 😂😂😂 ila wee jamaa

IMG_20220120_170303.jpg
 
Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania.
Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu.

Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku zijazo au utashuka na kuusikiliza mkutano wao nakuwagawanya ndimi kuliokoa Taifa?

Wakati Hayati baba wa Taifa anaondoka hapa duniani alisema neno ambalo kwa sasa huu niwakati wako kulitekeleza... Alisema anatuombea Watanzania na yakwamba alitupenda na aliona yatakayo tokea kwa watanzania na akaomba Utusaidie na kutuokoa.

Mungu najuwa yapo mambo yamekukera na yamekukwaza na umeshuka kwa operation maalumu ktk Taifa la Tanzania najuwa watanzania wengi wakiwa wamelala wasijuwe chochote wewe utapita ktk anga ya Tanzania nakuacha watu midomo wazi wakati watakapo amka wasiamini kile umefanya.

Baba najuwa huu mwaka mpaka 2025 matendo yako yatakuwa dhahiri kwa taifa swala la haki utu na usawa utalisamia like never before. Wengi hawato amini ila je jina lako lidharaulike ? Lahasha kwa ajili ya watanzania umeshuka kwa ajili ya hili taifa umeshuka.

Hukushindwa kumpa miaka mingi Hayati Magufuli ila Wewe kwakuwa ni Mzee wa Siku Baba wa Siri za dunia ukaufupisha mwisho wake baada yakuona Kesho ambayo hakuna mtanzania aliijuwa na hata milele hatutojuwa maana jambo hili halikuwa lakawaida na kamwe pasipo kuachia wewe lisingetokea. Ila umetuacha na maswal magumu kwanini ulimuondoa katikati ya watu milion arobain na kitu? Mbona Ezekia ulimuongezea miaka yakuishi why not Magufuli?

Ulishuka ukawasikiliza ukaona mipango yao na malengo yao ktk siri ukausitisha mpango wao na hii nikujidhihirisha Wewe ni Mungu wa Taifa hili tumelia tumeombeza ila Wewe unabaki kuwa Mungu. Mapenzi yako yatimizwe duniani kama mbinguni na kazi yako haina makosa.

Wakati huu umeshuka na wengi wapo ktk usingizi wakiwa wamesahau kile kimetokea...
Wengine wakiabudu miungu nakupunga pepo kwa ajili ya Taifa je malango ya Taifa utaruhusu haya yatoke? Moyo wangu unalia na unaomboleza maana najuwa hutokubali na mbaya kuliko yote Utajibu wakati wakiza kinene sana.

Weka maarifa na hekima kwa wakuu wa ulinzi na usalama wa Taifa hili waonyeshe ktk maono na ndoto yale yatatokea wape mbinu za kimbingu kulinda amani ya Taifa Tz.

Taifa hili ni Taifa lako Taifa hili ni mali yako Mungu ulio wapa watanzania wote pasipo kujali dini,kabila au tamaduni. Sisi ni watoto wako. Amen
Mungu Hana muda wa kujibu maombi ya wapumbavu Kama nyinyi na wahaini wenzio, taasisi ndio Ina jukumu la kuwashughulikia ipasavyo ikibidi kuvunja haki yenu ya kuishi hili Tanzania ibaki salama siku zote,

Mshashindwa hila zenu zote kenge nyinyi,Sasa mnamlilia miungu yenu ya kishirikina iwasaidie, na Bado!
 
Ameen!
Na iwe hivyo mkuu.

Naamini hataisahau Msoga family! Ikibidi aanze nayo mara tu atakaposhuka. Mkono wake ghadhabu na hukumu uhusike hapa.

Wazelendo km Ndugai, Bashiru, Humphrey nk wanaonekana hawana maana.
Namuomba asisahau kuwainua kwa mkono wake wa baraka.
Nyie ni matahila kweli! Yaani ndugai Ni mzalendo?????????
 
Back
Top Bottom