Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hili ni dua la kuku!.Baba wa Mbinguni, mimi naomba tu usitishe uhai wa ccm ifikapo 2025!
Uhai wa CCM ukisitishwa hiyo 2025, taifa la Mungu Tanzania, ndio liwe chini ya nani?.
Sala na maombi ya the impossible ni sawa na kuomba muujiza wa CCM kuanguka, sala valid ni angeomba kwanza Mungu, kuipatia Tanzania chama mbadala chenye the ability, capacity and capabilities kuipumzisha CCM, ndipo uombe CCM i restishwe in peace!.
At the moment, Tanzania tunaendelea na kuiishi ukweli huu kuwa CCM itatawala milele!.
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...