Taifa la washabikia uzinzi - Tanzania

Usihukumu usije ukahukumiwa.

Swala siyo kuhukumu kaka, au unafikiri mbinguni ni casino nini, eti hata machangudoa wataingia? au unadhani peponi ni night club eti hata wazinzi wanaingia tu.
 
Nakubaliana na mtoa mada kuwa taifa linashabikia uzinzi kwakuwa hata viongozi wa dini yake hawakuthubutu kukemea dhambi hiyo hata ktk ibada hiyo ya mazishi. Naomba ieleweke kuwa dhambi hiyo isipokemewa na hasa ktk mazingira kama hayo vijana wetu watadanganyika na kuendelea kutenda tendo la ndoa nje au kabla ya ndoa.
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Mimi si mtakatifu in anyway, lakini niambie ulipo nije tusimame wote ili tupigwe (si madongo bali) mawe kabisa! Naunga mkono hoja yako 110%!
 
Mume overvalue sana, huyu ni mzinzi alikuwa azikwe kikawaida tu. Tatizo nchi yetu wananchi malimbukeni watupu, huwezi kumpa coverage ile pamoja na presidential support mwasherati kama yule. Shame on all those waliokwenda Sinza Vatican na Leadets club. Leo mutaponda comment yangu lakini after a couple of years muje mujiulize wenyewe kama mulikuwa munastahili ku invest muda wenu na raslimali fedha kwenda kumzika muigizaji aliyebaka binti wa miaka 17. Alipomchukua kwa wazazi wake alisema anamtoa kwa kipaji chake kumbe anamtia! Nanyi munashabikia uchafu huo
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

Thread yako ina ukweli,ila hujaindika vizuri.Taifa hili liko njia panda.Uovu sasa ndio bora,wema hauna nafasi.Kwa ajili ya uovu wetu ambao tumepandikiziwa,hao hao walio tuingiza mkenge mpaka tupende uovu,mwaka 2012 wameufanya uwe ole kwetu.Utakuwa mwaka wa mateso ambayo mwanadamu hajawahi kuyaona.Matumbo yatauma!
 
Kama Kanumba kuishi na mwanamke kama wachumba bila ndoa ndio UZINZI, basi umetukana wengi sana tena wenye uongozi mkubwa kwenye vyama vya siasa!
Tuombe radhi mashabiki...........

Sijasema uongo, huo ni ukweli, sihukumu ila nasema ukweli uliosababisha kifo cha Kanumba (RIP). Siombi radhi, ndio nao wanafanya uzinzi hata kama ni nani
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
This is more than jelous. Even to the dead body!!!.
 
Wewe unayewaita wenzako wazinzi wewe ni msafi??

Au kwakuwa unashinda kwenye nyumba za ibada ndio ukajiona umeongoka? Usi judge ndugu yangu hakimu yupo mmoja tu.

Mimi sio msafi hata kidogo, lakini nasema Taifa zima kushabikia uzinzi, hakuna aliyekemea alichokuwa anakifanya na kitoto kile, wanakimbilia eti mcheza filamu , hakuna filamu tanzania, ni maigizo
 
Give us a break! Unawalinganisha wale wanakwaya na Kanumba? Simuhukumu Kanumba, ila handling ya kifo chake ni very poor! Mazingira ya kifo cha Kanumba na handling ya aftermath yake (kwa serikali na media) inawaambia nini teenagers ambao bado wanahitaji guidance ya wazazi/walezi wao? Leo hii mzazi atamrudi vipi mtoto mtoto kwa jambo ambalo hata Rais wa nchi kalibariki?
 
nyeti zinasema kanumba alikuwa kuwadi mkubwa wa mkulu...akimtaka bongo movie yeyote anampigia kanumba direct ...yet woteb ni freemason
nafikiri kuna umuhimu mkubwa sana kuwafundisha watu nini maana ya freemason, na ni watu wepi. kwasababu nimeona watz wanachanganya sana. mtu akifanya kitu cha ajabu tu wanasema freemason. try to google and knwo who they are.

freemason hawadili na mtu masikini wa chini kama kanumba, kuingia tu mle kuna umakini mkubwa na kuna madaraja. mabilionea tu ndo wanakuwa mafreemason. hivi vyama vya kichawi kama vya wachaga wa kimara (wachaga wenzangu) etc, cults kama za kinijeria etc, sio freemason.....yule mhindi wa tz ambaye ni kiongozi wa freemason miaka mingi kamwulizeni namna ya kuingia humo. pia, usilinganishe kanisa la shetani lile kule karibu na moven peak hotel (sijui kama imebadilishwa nakumbuka jina hili) wanalosali usiku uchi etc, ni tofauti na freemason pamoja na kwamba vyote ni vyama vya kishetani. freemason ni kikundi cha watu matajiri sana wanaoongoza dunia hii katika kila nchi. masikini haingii mle hata siku moja. ila kuna cults ndogondogo kama hizi za lion club pia ni za kishetani, usilinganishe na hizo.
 
mbona Rais hajatoa mapumziko kama nyerere ama karume ect
 
Hata mimi nimeshangaa kila aina ya ushahidi tumeuona...
Kwanza alikuwa na mwanamke ambaye siyo mke wake hivyo walikuwa wanazini tu...
Pili chumbani kwake kumekutwa na pombe kali aina ya whisky hivyo alikuwa analewa
kwa vyote hivyo naweza kumaliza kwa kusema kilichomuua kanumba ni ulevi, mapenzi na uzinzi...ni ajabu taifa kuomboleza kifo cha mzinzi...ingekuwa somalia kanumba kabla ya kifo chake ilimfaa apigwe na mawe mpaka kufa
 
:shock: shock for TAZANZANIA but no mapumziko for the wananchi
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Mh nyie CHADEMA mna rohoo za korosho hata kwa maiti.Wakati wa uchaguzi tulisema dr slaa mnzinzi hana mke.mlitetea leo mnajifanya watu wa mungu na kukemea unzinzi.
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.

kabla ya kuwa-accuse marehemu kanumba na "sisi watz wote", ingekuwa vema kama ungekatuwekea hapa jamvini definition ya "uzinzi" kwanza. hiyo itatusaidia kujua marehemu alizini vipi....tuanzie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…