Usihukumu usije ukahukumiwa.
Swala siyo kuhukumu kaka, au unafikiri mbinguni ni casino nini, eti hata machangudoa wataingia? au unadhani peponi ni night club eti hata wazinzi wanaingia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihukumu usije ukahukumiwa.
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Wameshabikiaje uzinzi? Mtu akishakufa regadles kafaje lazima afanyiwe taratibu zote..kama kuoshwa kuswaliwa na kuzikwa..mfano katika uislamu aliyeoa au kuolewa akikamatwa ugoni anapigwa mawe mpaka afe au aliyeua nae anauawa kisha anafanyiwa taratibu zote ambazo angefanyiwa aliyekufa kwa ugonjwa..labda unachoweza niambia ni kwamba watanzania hatuna kazi muhimu za kufanya..
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Kama Kanumba kuishi na mwanamke kama wachumba bila ndoa ndio UZINZI, basi umetukana wengi sana tena wenye uongozi mkubwa kwenye vyama vya siasa!
Tuombe radhi mashabiki...........
Mtu akishafariki makosa yote tunamwachia Muumba wake ndiye mwenye Mamlaka ya kumwaadhibu. Kama tukimhukumu marehemu, Mungu atafanya nini ?
This is more than jelous. Even to the dead body!!!.It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Wewe unayewaita wenzako wazinzi wewe ni msafi??
Au kwakuwa unashinda kwenye nyumba za ibada ndio ukajiona umeongoka? Usi judge ndugu yangu hakimu yupo mmoja tu.
nafiri kama wewe sio mzinzi, uwe wa kwanza kurusha jiwe. however ujue kuwa Mungu anapenda watu wote, wazinzi na wasio wazinzi. sote tunaishi kwa neema tu. kama Mungu angekuwa kama wewe hivi, basi siku ileee, unayoikumbuka uliyozini angelikuulia palepale kwenye kitanda, lakini ana huruma alikuacha tu, ukamaliza, ukaondoka, siku ukajifikiria ukarudi kwake ukatubu akakusamehe na sasaivi unarusha mawe kwa wenzio. hapa hatushabikii uzinzi wa mtu, tuna msiba wa mtu aliyekuwa balozi wa tz katika sanaa kwa nchi mbalimbali za afrika mashariki na ameingiza ajira kwa watu wengi waliokuwa wakisambaza kazi zake za sanaa. ni muhimu kuelewa kuwa, wasanii wanatakiwa kutathiminiwa sana. kumbuka kagame alituma hadi ndege kuwachukua wale waimba kwaya chrust ambassadors....tuwajali watu wetu. don't judge his uzinzi, Mungu angehesabu maovu hakuna ambaye angesimama.
mimi nimependa sana hii, nimeona kumbe watz tuna umoja sana, hii kitu imetuunganisha watz sana sana. mimi hapa niko kahama shinyanga, huwezi amini kuna wasukuma walilia mitaani ajabu huku usukumani. kauli kama yako hiyo ikiitoa huku usukumani, unaliwa nyama nakwambia...and some of them don't even know whether incident ilitokana na uzinzi, wao wanamwangalia kanumba as kanumba hawaangalii uzinzi wake. Mungu anisaidie mimi binafsi kwasababu bado tu ni mwenye dhambi. wala siihitaji kuwanyoshea wengine vidole, labda kama ni kuwaombea tu Mungu awarehemu wageuke.
nafikiri kuna umuhimu mkubwa sana kuwafundisha watu nini maana ya freemason, na ni watu wepi. kwasababu nimeona watz wanachanganya sana. mtu akifanya kitu cha ajabu tu wanasema freemason. try to google and knwo who they are.nyeti zinasema kanumba alikuwa kuwadi mkubwa wa mkulu...akimtaka bongo movie yeyote anampigia kanumba direct ...yet woteb ni freemason
Mume overvalue sana, huyu ni mzinzi alikuwa azikwe kikawaida tu. Tatizo nchi yetu wananchi malimbukeni watupu, huwezi kumpa coverage ile pamoja na presidential support mwasherati kama yule. Shame on all those waliokwenda Sinza Vatican na Leadets club. Leo mutaponda comment yangu lakini after a couple of years muje mujiulize wenyewe kama mulikuwa munastahili ku invest muda wenu na raslimali fedha kwenda kumzika muigizaji aliyebaka binti wa miaka 17. Alipomchukua kwa wazazi wake alisem kwa hiyo ulitaka asizikwe? Wewe binadam kazi yako ni kumuosha kumswalia au kumsalia na kumzika kinachofuata baada ya hapo hakuna anayejua.. Wewe omba mungu usiwe na mwisho mbaya kama wa huyu jamaa.
nafiri kama wewe sio mzinzi, uwe wa kwanza kurusha jiwe. however ujue kuwa Mungu anapenda watu wote, wazinzi na wasio wazinzi. sote tunaishi kwa neema tu. kama Mungu angekuwa kama wewe hivi, basi siku ileee, unayoikumbuka uliyozini angelikuulia palepale kwenye kitanda, lakini ana huruma alikuacha tu, ukamaliza, ukaondoka, siku ukajifikiria ukarudi kwake ukatubu akakusamehe na sasaivi unarusha mawe kwa wenzio. hapa hatushabikii uzinzi wa mtu, tuna msiba wa mtu aliyekuwa balozi wa tz katika sanaa kwa nchi mbalimbali za afrika mashariki na ameingiza ajira kwa watu wengi waliokuwa wakisambaza kazi zake za sanaa. ni muhimu kuelewa kuwa, wasanii wanatakiwa kutathiminiwa sana. kumbuka kagame alituma hadi ndege kuwachukua wale waimba kwaya chrust ambassadors....tuwajali watu wetu. don't judge his uzinzi, Mungu angehesabu maovu hakuna ambaye angesimama.
mimi nimependa sana hii, nimeona kumbe watz tuna umoja sana, hii kitu imetuunganisha watz sana sana. mimi hapa niko kahama shinyanga, huwezi amini kuna wasukuma walilia mitaani ajabu huku usukumani. kauli kama yako hiyo ikiitoa huku usukumani, unaliwa nyama nakwambia...and some of them don't even know whether incident ilitokana na uzinzi, wao wanamwangalia kanumba as kanumba hawaangalii uzinzi wake. Mungu anisaidie mimi binafsi kwasababu bado tu ni mwenye dhambi. wala siihitaji kuwanyoshea wengine vidole, labda kama ni kuwaombea tu Mungu awarehemu wageuke.
Mh nyie CHADEMA mna rohoo za korosho hata kwa maiti.Wakati wa uchaguzi tulisema dr slaa mnzinzi hana mke.mlitetea leo mnajifanya watu wa mungu na kukemea unzinzi.It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.