Taifa la washabikia uzinzi - Tanzania

pamoja na umalaya wa haka kabinti, sitashangaa akitoa utetezi kuwa alienda pale kwa S.K kikazi but jamaa kwa uroho wa ngono akaona mtego wake umenasa akashindwa kuelewa urafiki hauzuii kutendeka kwa kosa la kubaka - hata akiwa mpenzi wako if she doesnt give consent to sex it amount to rape. Bahati mbaya Kanumba alikuwa kweli Kanumba sidhani iwapo alikua anajua angalau sheria inayo - prohibit matendo ya jinai. So hako kamalaya wala hakahitaji wakili aliebobea ktk masuala ya jinaii, akishikilia kwamba she was acting in self defence bac pro-S.K wote watabaki midomo wazi coz hako kamalaya ndo shahidi pekee kwenye tuhuma zinazomkabili. Nani aloshuhudia picha ilivyokuwa wakati walikua wawili gheto? Prosecutor has to prove beyond reasonable doubt that hako kamalaya kalimuua malaya mwenzake, vinginevyo mtuhumiwa amewin kesi hiyo.
 
anyooshe kidole ambaye hajawai kuzini!
wivu mbaya sana! fikiria ulisha angalia na demu wako filamu ata moja ya kanumba na demu wako akasema huyu kaka mzuri! najua uli umia sana na ndio maana unafurahia kifo chake maana alikuwa anakukosesha Amani kabisa ,maana kila siku demu wako anakuuliza dia umeona filamu mpya ya kanumba? unajiuliza y kanumba? lakin ukweli ni kwamba wanamtaka wenyewe! R.I.P STEVEN CHARLES KANUMBA
NB: aliye kunywa sumu baada ya kifo cha kanumba unazani hana bwana? bwana ake amefurahia kifo cha kanumba.
 

Issue hapa sio kuzini au nani hajawahi kuzini, the late S.K. kwa nafasi yake na ushawishi wake kupitia kipaji chake haikutegemewa kwamba angefuka katika mazingira ya kifuska, aliejiua kwa sumu kama ni kweli huyo atakua amejiua kwa sababu nyingine za kijuha
 
Kama Kanumba kuishi na mwanamke kama wachumba bila ndoa ndio UZINZI, basi umetukana wengi sana tena wenye uongozi mkubwa kwenye vyama vya siasa!
Tuombe radhi mashabiki...........

duh! under 18!!!!!?????????????? mungu akutangulie ktk mawazo yako!
 
Kanumba kauawa na malaya wakifanya umalaya, Rais na WM wote wanalia malaya kauawa na malayawakifanya umalaya!
Serikali imechoka hii!
Hivi kisheria sio kosa kumlala mtoto wa chini ya miaka 18? (Lulu has just turned 18)
So Kanumba alikuwa akimbaka Lulu..Rais na WM wanamlilia..
 

Sina zawadi tu...
 
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni. Huyu alikuwa anafanya uzinzi, basi najua mtanipiga madongo, potelea mbali.
Naunga mkono!
 
kwaiyo wale waloimba KWETU PAZURI walipata ajali wakiwa WANAZINI? hebu fafanua kdg hapo cjakuelewa.
 

Huo mdomo unaotamka haya ndo huo huo unaotumia kulia chakula kweli lool.
 
tafsiri ya UZINZI- Kufanya ngono nje ya ndoa. inawahusu wanandoa wanaoacha wake/waume zao na kufanya ngono na wasio patna zao.
Huyu kijana alikuwa hajaoa na haikusemwa alikufanya akifanya ngono na mke wa mtu. Je uzinzi wake ni upi? Kama wewe ni mwanaume ulieleta hii post unaweza kusema wewe mke au mwanamke uliye naye sasa ndiye aliyekuanza na hujawahi kuwa na mwingine? au kama ni dada waweza sema uliye naye sasa ndiye aliyekuanza na huta/hujawahi kuwa na mwingine? acheni kuhukumu watu hakuna aliye msafi hata mmoja hapa duniani wote tumepotoka na tumepungukiwa na utukufu wa mungu. Mwacheni Kijana wa watu apumzike kwa amani kazi yake duniani ilishaisha. hatuna sababu wala haja ya kujadili maisha yake ya binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…