Dogo1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,357
- 577
pamoja na umalaya wa haka kabinti, sitashangaa akitoa utetezi kuwa alienda pale kwa S.K kikazi but jamaa kwa uroho wa ngono akaona mtego wake umenasa akashindwa kuelewa urafiki hauzuii kutendeka kwa kosa la kubaka - hata akiwa mpenzi wako if she doesnt give consent to sex it amount to rape. Bahati mbaya Kanumba alikuwa kweli Kanumba sidhani iwapo alikua anajua angalau sheria inayo - prohibit matendo ya jinai. So hako kamalaya wala hakahitaji wakili aliebobea ktk masuala ya jinaii, akishikilia kwamba she was acting in self defence bac pro-S.K wote watabaki midomo wazi coz hako kamalaya ndo shahidi pekee kwenye tuhuma zinazomkabili. Nani aloshuhudia picha ilivyokuwa wakati walikua wawili gheto? Prosecutor has to prove beyond reasonable doubt that hako kamalaya kalimuua malaya mwenzake, vinginevyo mtuhumiwa amewin kesi hiyo.