Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Fisi S.C ndo team pekee kutoka TZ kwenye group lake haina point hata moja. Ni aibu sana kwa Taifa. Na leo inaenda kuchabangwa tena uwanja wa Taifa kama kawa ikigawa furaha kwa wengine.
Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha. Mnakuwa na team bovu lisindikizaji tu kwa wenzie. Litim la mtaan linafurahia kusafiri tu kugawa points kwa team nyingine.
Hii team ni bora ingejitoa kwenye mashindano makubwa. Maana hiyo nafasi wangepewa hata Mashujaa wangefanya vizuri kuliko hawa Fis S. C halafu wanajiita Simba. Ni kumuaibisha Mfalme wa Nyika. Wanapaswa wajifunze kutoka kwa Yanga. Jinsi Yanga inqvyofanya vizuri ndani na nje ya nchi.