Taifa letu limekosa upinzani thabiti, nani atainyoosha CCM?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Sisi Chadema ndio tumekosa hoja kabisa za kunyoosha na kuikosoa hii CCM ya wakandamizi.

Act wazalendo ndio wamebakiza mipasho huko Twitter na kwa ujumla wameunga juhudi.

Sisi Chadema hatuna mwelekeo wa kisiasa kabisa. Sioni ajenda au mkakati wa kupambana na Ccm zaidi ya kuwa washabiki wa kinachoendelea ndani ya CCM.

We are in political limbo.
 
Mi si nimesikia sasa hivi CHADEMA wanasajili wanachama kidigitali vipi tena wewe unasema hawana nguvu
 
Binafsi naamini kwamba, watakao inyoosha CCM watatoka ndani ya CCM.
Bado naamini kwamba CCM itatolewa madarakani na watakaotokea ndani ya CCM
 
Kwani wewe nani kakuzuia kuinyoosha ccm?
 
Kwan c mlikua mnapambana kuhakikisha mpaka. 2020 CDM iwe imekufa??? Sasa hapa unatakaje labda, acha unafiki mbogamboga wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…