Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Setback ipi tumepata tena leo?Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.
Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.
Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.
Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.
Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.
Hujui we fisadi mkubwa?setback ipi tumepata tena leo?
Mbona matusi tena, sikuelewi. sijui nikutukane au niache maana matusi ninayo mkononiHujui we fidadi mkubwa?
Fisadi mkubwaMbona matusi tena, sikuelewi. sijui nikutukne au niache maana matusi ninayo mkononi
Ndio nani?Fisadi mkubwa
Umewehuka wewe.Fisadi mkubwa
Umeyashikilia kama mabomuMbona matusi tena, sikuelewi. sijui nikutukane au niache maana matusi ninayo mkononi
Mambo mengine tumuachie Mungu huu mwaka kama sio kuanguka kwa huyu mwamba makampuni mengi yangepunguza watu na ingekuwa hali mbaya haijawai tokea. Ni Mungu anaye juwa sisi tusinyooshe vidole maana watu wamelia sana wewe hujuwiNi mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.
Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.
Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.
Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.
Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.m
Ambao hamjapata setback hiyo ni wewe na mama yako na pia baba yakoNi mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.
Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.
Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.
Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.
Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.
Fisadi mama yako hawala yanguFisadi mkubwa
Ukitaka mataga wakutoe nduki we waambie hii ni serikali ya awamu ya sita.
Sumu zipo nyingi tu nunua hata ya panya koroga unywe umfuate tumechoka hizi kelele zenu. Wajane mbona haya ya kawaida tu kwani nyie ndiyo wa kwanza kufiwa?Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu.
Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro.
Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko waharifu wa kila namna wanaacha, wafanyakazi wanaacha uzembe na mafisadi wanakimbia.
Mwaka huu tena yametukuta yaleyale kama ya mwaka 1984. Big setback katika historia ya taifa letu.
Watanzania tujitafakari sana na kumuomba Mungu.
Wacheni Mungu aitwe Mungu. Dhalim alishashindikana.Mambo mengine tumuachie Mungu huu mwaka kama sio kuanguka kwa huyu mwamba makampuni mengi yangepunguza watu na ingekuwa hali mbaya haijawai tokea. Ni Mungu anaye juwa sisi tusinyooshe vidole maana watu wamelia sana wewe hujuwi