Taifa letu lina bahati mbaya sana, mwaka 1984 yalitukumba pia

Big setback πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† tutamuomba MUNGU ampe nguvu, hekima na busara aweze kuliongoza Taifa vyema Rais Samia. OVER!!
 
Ukumbuke vile vile kuwa Sokoine alikuwa a pseudo-dictator.
Watu waliwekwa kizuizini wakati hakuna sheria iliruhusu kitendo hicho kwenye katiba.
 
Mtu anapita nchi zipo pale pale na zinaendelea kuwapokea watu wengi tu wenye uwezo.

Maneno hayo aliyasema hayati JPM pale ikulu, hivyo haipo haja ya kuendelea kulialia kama tunatambua kuwa dunia hii sisi ni wapita njia.

Wataibuka wanasiasa vijana miaka hii ya sasa watakaokuwa na busara, hekima, maono na ujasiri wa kufanya maamuzi.

Asili siku zote imekamilika huwa haina upungufu.
 
Usije ukajitoa akili kumfananisha Sokoine na Maendazake hapana .....mmoja alikuwa kiongozi mahiri mwingine mwehu...ameharibu uchumi nchi ...hawafanani
 
Basukuma ung'waka gwenuyu mkunya! Mpaka mjambe cheche!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…