Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana mkoa wa njombe na makaa ya mawe yanayo patikana mkoa wa Ruvuma hivyo basi ili kuweza kuyeyusha chuma lazima yatumike makaa ya mawe na nchi yetu tunayo vyote.
Nchini kwetu kuna vijana wen gi wenye vipaji wanaoweza kutengeneza magari na pikipiki, kwanini wasingepelekwa nchi za mbele wakapewa elimu zaidi ili baadae tuweze kutengeneza magari yetu wenyewe maana makaa tunayo na chuma tunayo.

Upvote
3