Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

Kuvamia Clouds Fm ni minong'ono ya mitandaoni?

Alienda mwenyewe kuvamia akiwa na askari wenye silaha.

Unajua kosa la uvamizi wa kutumia silaha kifungo chake ni miaka mingapi?

Ndiyo maana watu wakasema sahizi angekuwa anaozea jela.
Kuvamia studio ni tofauti na kuua watu, mauaji ni murder case mkuu, kosa kubwa sana.
 
Kama vyombo vya usalama haviwezi kuthibitisha wizi wa Mwigulu, basi tuna serikali ya hovyo kuliko zote duniani

Kama wewe unao ushahidi wa kutosha! Simple, fanya kama alivyofanya huyo kijana!!

Sema tu waziri Mwigulu, siku fulani, sehemu fulani, saa fulani, kaiba kiasi fulani, mali ya fulani!! Uone kitakachojiri!!
 
Kama wewe unao ushahidi wa kutosha! Simple, fanya kama alivyofanya huyo kijana!!

Sema tu waziri Mwigulu, siku fulani, sehemu fulani, saa fulani, kaiba kiasi fulani, mali ya fulani!! Uone kitakachojiri!!
Huenda wewe ndiye
 
Kama wewe unao ushahidi wa kutosha! Simple, fanya kama alivyofanya huyo kijana!!

Sema tu waziri Mwigulu, siku fulani, sehemu fulani, saa fulani, kaiba kiasi fulani, mali ya fulani!! Uone kitakachojiri!!
CAG kishasema, tena kwa maandishi kabisa.
 
Gekul kila kitu kipo wazi!
Onyesha hio chupa dogo aliyoingiziwa mkunduni, km ushahidi unao au ushahidi ni ile clip yake? Umesahau hata Simalenga amewahi kukutana na kadhia km hii akaambiwa amempiga binti kule Simiyu sijui hadi amemtoa jicho na binti akaweka bonge la bandeji kufunika jicho kuonyesha km amepasuliwa jicho watu wakahamaki unajua yaliishaje yale Mambo na Simalenga yupo wapi? Ogopa script na maneno ya kutunga ili kuchafua watu, usipende kusikiliza upande mmoja ukatoa maamuzi utalishwa Sumu ufe
 

Makonda alikua kasimama as national operations commander kwenye issue tofauti na akapata baraka zote tokea juu kwaiyo kama ukionekana kwa nmna yoyote unamvuruga ilikua inaonekana unavuruga operation ya taifa na automatically unakua hadui so kitakachokukuta chochote ilikua hapewi haki mtedwaji ila kwa uyu wala ayuko attached na issue yoyote ya kitaifa ambayo ingempelekea kufanya ivo so lazima wamtupe tuu maana hana faida nao.
 
Nawe tukuulize swali. Uingiziwe chupa ya mirinda nyeusi na kupewa bil 2. Au uachwe bila hata 100. Unachagua kipi?
 
Kwanini ubalozi wa America ulimpiga total ban ?

Sababu ilikuwa nini ?

Je jamaa huwa wanakurupukaga wale?
 
Kwa hiyo Mleta mada hoja yako ni nini ?

Je Paulina aachwe asichukuliwe hatua zidi ya tuhuma zinazomkabili kwa sababu hiyo?

Je unataka kusema kuna double std ?
 
Umenikumbusha ile futuhi ya dada mtu mzima aliyejiita mwanafunzi
 
Kila mtu awajibike kwa matendo yake [emoji108]

Kuna tofauti ya kuwa ;

Being accountable vs being responsible
 
Hapo ndipo Gekul ataonekana msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…