Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Taratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi?
👇
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati ndege zinanunuliwa Taifa liliwekwa wazi?Taratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi?
[emoji116]
View attachment 2441543
DuhYeye na baba yake wanaamini hawafi kwasababu ni watu wazuri.
Ndege zipi?Wakati ndege zinanunuliwa Taifa liliwekwa wazi?
Bhaulize, bhaulize. Jiwe alikuwa anatumia fedha zetu kama vile ni za kwake binafsi. Ananunua ndege kama vile anavyomnunulia mkewe underwear. Jiwe alaaniwe huko aliko.Wakati ndege zinanunuliwa Taifa liliwekwa wazi?
Richmond part IITaratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi?
👇
View attachment 2441543
Siyo yeye tu hata Kikwete na Kinana hawatakufa kwa sababu wao ni watu wazuri, ila rais Samia atakufa akiacha kuwa mtu mzuri. Ila hakika siku ya vifo vya hawa wazee sijui itakuwaje.Yeye na baba yake wanaamini hawafi kwasababu ni watu wazuri.
tunaomba kwanza tujulishwe yafuatayoTaratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi?
👇
View attachment 2441543
Kwa kuwa aliyemtangulia alifanya makosa basi tuhalalishe makosa yaendelee na kwa aliyepo?,tunamkomoa nani?,ndo maana hawajali wanajua akili zetu haziko sawatunaomba kwanza tujulishwe yafuatayo
1. nani alijenga uwanja wa ndege wa chato (kampuni gani), tenda ilipatikana vipi? je ujenzi ule ulipitishwa bungeni au yalikuwa matakwa ya mtu binafsi?
2, Ndege za Tanzania zilinunuliwaje? taratibu za manunuzi zilifuatwa? wazabuni walipatikanaje?
Lengo ni kubaini kama kuna ufisadi
Unataka kutukanwa si Bure.Wakati ndege zinanunuliwa Taifa liliwekwa wazi?
Mamake alikufa alikuwa mtu mbaya ,siasa za kipuuzi hizi zinaliyumbisha taifaYeye na baba yake wanaamini hawafi kwasababu ni watu wazuri.
Wafuasi wa Magufuri acheni upumbavu, kwani mlitaka Magufuri asife kwani yeye ninani ndani ya hii dunia?Siyo yeye tu hata Kikwete na Kinana hawatakufa kwa sababu wao ni watu wazuri, ila rais Samia atakufa akiacha kuwa mtu mzuri. Ila hakika siku ya vifo vya hawa wazee sijui itakuwaje.
Unajua kitendo cha kumuua Dkt Magufuli kimelitia doa sana taifa letu, hii kitu itachukua miaka mingi kusahaulika.
Na sasa laana itatembea kizazi hadi kizazi na hivi hivi wataendelea kuuana viongozi waliopo madarakani na hasa marais, na itakuwa hivyo hivyo kama ilivyokuwa utawala wa ki Rumi.
Mtawala wa kwanza alimuua ndugu yake na waliofuata waliuawa hivyo hivyo ili mwingine aje madarakani, siyo ajabu kauli za JK na Makamba zikawa zimemlaani Rais Samia anaweza akafa kabla ya 2025 akaja mwingine naye hivyo hivyo akafa ili aje mwingine na hawa wazee wanaweza wakauawa na rais aliyepo madarakani yaani ukawa ni muendelezo wa kuuana tu.
Nadhani kama taifa inabidi tupate rais mcha Mungu ili taifa letu liombe msamaha lipone.
Unaishi Tz?Wakati ndege zinanunuliwa Taifa liliwekwa wazi?